Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 861
- 2,515
Timu ya Pamba ni kama imesha jitambua hasa mzunguko huu wa pili na kuna dalili inaweza kuepuka kushuka daraja na watu wa Mwanza waliopambana kuipandisha wakabaki na furaha.
Lakini sasa limebaki tishio la mlezi wenu RC Mtanda kutaka kuitumia timu hii ya wana Mwanza kwa manufaa yake binafsi na furaha yake kuleta ushawishi ili timu iingie kwenye familia ya uteja kwa GSM kama ilivyo Singida, Mashujaa nk.
Hakika mkiacha mechi hii mpoteze kizembe mtashuka daraja na watu wa Mwanza hawatakubali tena timu zao kuzikabidhi kwa hao wana siasa uchwara wasio na uchungu na mali za Mwanza.
Hebu kazeni uzi kama mlivyofanya kwa Azam au Simba na Singida.
Msikubali kutumika kama condom ambayo ni muhimu lakini ikitumika tuu inatupwa kwenye dust bin.