Pamba (cotton) inapandwa au inakuzwa kwa wingi mikoa au wilaya gani?

tajiri tumbo kubwa

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2021
Posts
429
Reaction score
567
Nawasalimie yote kwa jina la muungano wa jamuhuri ya tanzania, kaa kichwa kinaposema, naomba msaada kwenu wakuu, je ni mikoa gani au wilagi gani ukulima wa pamba (cotton) uko kwa wingi sana hapa nchini.

Natanguliza shukrani zangu.

Asanteni sana,

Mimi wenu, dr tajiri tumbo kubwa
 
Mh.dr tajiri tumbo kubwa,mikoa inayolima pamba kwa wingi ni hii ifuatayo:-GEITA,SHINYANGA,TABORA(igunga dc)SIMIYU,MARA na SINGIDA kwa baadhi ya maeneo.na wengine wataongezea
 
Nawasalimie yote kwa jina la muungano wa jamuhuri ya tanzania, kaa kichwa kinaposema, naomba msaada kwenu wakuu, je ni mikoa gani au wilagi gani ukulima wa pamba (cotton) uko kwa wingi sana hapa nchini.

Natanguliza shukrani zangu.

Asanteni sana,

Mimi wenu, dr tajiri tumbo kubwa
Katika Tanzania zao la pamba linalimwa na kustawi sana maeneo ya Ukanda wa Ziwa Nyanza(Victoria) Mkoa wa Shinyanga( wilaya za Kishapu, Shinyanga na Kahama), Mkoa wa Simiyu (Wilaya za Meatu, Itilima, Maswa, Bariadi na Busega) Mkoa wa Mwanza (Kwimba, Misungwi, sengerema na Magu) na Geita (Geita, Nyang'hwale, Mbogwe, Chato na Bukombe), Mkoa wa Mara (Bunda, Serengeti, Mugumu, Musoma vijijini na Butiama) na Baadhi ya maeneo Mkoa wa Tabora (Wilaya ya Igunga na Nzega).
 
nashukuru sana mkuu, barikiwa
 
Back
Top Bottom