Team inasafirisha watu kwa Special Hire 😃Huu umasikini ni mbaya sana. Timu kama ile ilitakiwa isafiri kwa ndege toka Bukoba. Kama timu haina ndege zake basi ichukue ndege za kukodi zipo. Timu inasafiri umbali kwa basi, are they sirious?
Hii sasa ndo dharula yenye uwezo wa kughairisha mechiBasi la wachezaji wa Pamba Jiji FC limepata ajali katika eneo la Bahi mkoani Dodoma majira ya saa 11 alfajiri wakati kikosi hicho kikiwa safarini kutoka Bukoba kuelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo wa Kombe la CRDB Federation dhidi ya Kiluvya United Machi 11, 2025.
View attachment 3264339
Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo imesema chanzo cha ajali hiyo ni kugongwa na lori hivyo kupelekea mshtuko kwa baadhi ya wachezaji.
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetuma salamu za pole kwa timu hiyo kufuatia ajali hiyo.
Team inasafirisha watu kwa Special Hire
Hilo nalo neno, ndege huwa hazipati ajali japo kuna timu moja Amerika kusini walikufa wachezaji wote akabaki mmoja, na Zambia vivyo hivyo ndege ilianguka baharini alibaki mmoja.Huu umasikini ni mbaya sana. Timu kama ile ilitakiwa isafiri kwa ndege toka Bukoba. Kama timu haina ndege zake basi ichukue ndege za kukodi zipo. Timu inasafiri umbali kwa basi, are they sirious?