jiwe la maji
JF-Expert Member
- May 17, 2014
- 1,062
- 705
Umenikumbusha mbali sana. Halafu Pamba ilikuwa na mashabiki na manazi wa ukweli in those days.
Nyamagana wewe ndio ulikuwa unasifika enzi izonilikuwa mdogo lakini nakumbuka uwanja wa kirumba ulikuwa unajaa, na mwanza ilikuwa na watu kama 250,000, siku hizi mwanza ina watu milioni na kitu lakini kirumba haijai hata robo,