Pamba ya Mwanza yanyakua Kombe la Jamhuri

Pamba ya Mwanza yanyakua Kombe la Jamhuri

jiwe la maji

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Posts
1,062
Reaction score
705
Wadau Wanakanda ya Ziwa wenzangu leo tujikumbushe timu yetu ya Pamba wana TP Lindanda Wana Kawekamo walivyonyakua Kombe la Jamhuri mwaka 1990 kwa kuwabwaga Small Simba kule Amani Zanzibar kwa mikwaju ya penati

Shukrani Mabruki wa Igogo kwa playback!
 
Duh TP Lindanda wana kawekamo.

1. Paul Rwechungula.
2. David Mwakalebela.
3. Deo Mkuki
4. David Rogers.
5. George Magere Masatu.
6.HusseinAmani Masha.
7. Hamza Mponda
8. Nico Bambaga
9. Kitwana Selemani.
10. FumoFelisian
11. Dani Muhoja

Sub
1. Madata Lubigisa
2. George Gole
3. Khalfan Ngasa
4.Abdalla Rashid
 
Umenikumbusha mbali sana. Halafu Pamba ilikuwa na mashabiki na manazi wa ukweli in those days.
 
Umenikumbusha mbali sana. Halafu Pamba ilikuwa na mashabiki na manazi wa ukweli in those days.

nilikuwa mdogo lakini nakumbuka uwanja wa kirumba ulikuwa unajaa, na mwanza ilikuwa na watu kama 250,000, siku hizi mwanza ina watu milioni na kitu lakini kirumba haijai hata robo,
 
Nilishasema nitakuja kufatilia mpira wa Tanzania siku Pamba ikicheza ligi kuu
 
nilikuwa mdogo lakini nakumbuka uwanja wa kirumba ulikuwa unajaa, na mwanza ilikuwa na watu kama 250,000, siku hizi mwanza ina watu milioni na kitu lakini kirumba haijai hata robo,
Nyamagana wewe ndio ulikuwa unasifika enzi izo
 
Back
Top Bottom