Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
huyu dogo ni mjinga sana na huwa anaamini anajua sana. asitafute wampasulie yai kama mwenzie mdude, na aache kuingilia kesi iliyoko mahakamani. sijui kwanini anapata nafasi hiyo. yeye na TWaha mwaipaya, ndio bogus kabisa sasa.Huku ni kupotosha umma.
"Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba" John Pambalu
Ni nani huyu ?Jamaa ana make headlines vibaya Sana kuna nyingine alipandisha bendera mlima Kilimanjaro
Sune Mushendwa ni msweden mwenye asili ya TanzaniaNi nani huyu ?
Yuko kwenye Olympics pia nimeona kama yuko kwenye mashindano.Sune Mushendwa ni msweden mwenye asili ya TanzaniaView attachment 1878784
Huku ni kupotosha umma.
"Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba" John Pambalu
Use common sense when you discuss things.Hebu jadili kauli ya wakati wanamkata....
"....tumekupata Mh. Mbowe. Na nakuambia safari hii hutoki, huchomoki..."
Na mwaka jana wakati wa uchaguzi akiwa ktk kampeni ktk jimbo lake, aliyekuwa OCD wa wilaya Hai wakati huo alisema;
"....safari hii hushindi ubunge wewe nakuhakikishia..! Umshinde nani wewe Mbowe...!!!? Safari hii hushindi nakuambia...!!"
Duuh , ila hawa UWT wapuuzi kweli kwa sababu strategies zao kum - incriminate ndugu Mbowe ni za kishamba sana...!
Kosa limeanzia na timing na namna walivyomkamata kuonesha kuwa ni mufilisi ktk mipango yao...
Kwa sababu hebu tu - assume kuwa, labda ni kweli Mbowe ni gaidi. Hata hivyo ni nani atawaamini ktk hatua hii kwa sababu UWT - CCM wameshindwa kabisa ku - maintain consistency ktk uongo wao kuhusu sababu ya kumshtaki huyu Mwamba...!!
Yaani RPC au IGP anafanya PC na kuuanbia umma kuwa ana makosa 1, 2, 3 nk lakini mahakamani wanaenda na makosa mengine kabisa...!
Yaani Jeshi la polisi ni moja, lakini kila polisi anatoa sababu zake tu za kumshtaki huyu Mwamba. Lack of consistency...
By the way, iliwezekanaje kwenda kumkamata saa 8 za usiku akiwa hotelini Mwanza mtu ambaye mchana kutwa alikuwa mitaani akifanya vikao vya chama chake kujiaanda na kongamano la katiba mpya ya wananchi kesho yake halafu usrme sababu siyo hiyo..?
Sidhani kama chumba cha mahakama kinatosha π€£
I am in my full "gold right sense...". I have surpassed the level of common sense to the GOLD RIGHT SENSE...Use common sense when you discuss things.
You dont show any signI am in my full "gold right sense...". I have surpassed the level of common sense to the GOLD RIGHT SENSE...
Common sense is for common people and for common issues....!
Huyu Mwl.Pambalu naye hana hoja, hiyo ni kesi ya ugaidi kwa Mbowe na siyo kesi ya kudai Katiba. Kada ya ualimu ni kwa wale waliofeli shuleHuku ni kupotosha umma.
"Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba" John Pambalu
Anajiita kamanda asiyechoka!πππHizi mada za kiume tuachie wanaume wenyewe, wewe kajadiliane na wenzako wa UWT.
wwe niubwaJikite na mada husika.
Nimecheka kwa sautiHizi mada za kiume tuachie wanaume wenyewe, wewe kajadiliane na wenzako wa UWT.
Tumekusikia kamanda kutoka Lumumba FCHuku ni kupotosha umma.
"Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba" John Pambalu
Kada ya ualimu ni kwa waliofeli kama ina ukweli hivi....asituzingueHuku ni kupotosha umma.
"Watakaokwenda kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wetu watakwenda kwa Amani kama IGP Sirro na Jeshi lake wamejipanga kuvunja watu miguu kwa kuwapiga, na wawapige ili iandikwe kwamba wakati wa utawala wa IGP Sirro watu walifanyiwa unyama wakidai Katiba" John Pambalu
Yaani IGP "awapige " yeye hayumo. Kwa sababu hataandamana. Hatudanganyiki. Hakuna wa kuandamanaHuku ni kupotosha umma.