John Pambalu ameandika:
Wamemuua Mwenyekiti wetu wa Bavicha jimbo la Nyamagana Mwanza Kamanda Michael Christian Mutabuzi.
Naambiwa alikamatwa na vijana waliompeleka jengo la CCM lililo karibu na Cetral Police mnamo tarehe 29.10.2025, siku moja baadaye tarehe 30.10.2025 mwili wake uliokotwa akiwa tayari amekwisha uawa.
Moyo wangu unavuja damu, wamemua mume wa mtu, baba wa familia.
R.I.P Michael