Hiyo inayojulikana kwa jina la CCM imejawa na watu waovu sana wakati huu.
WaTanzania waliomo ndani ya chama hicho ambao hawashiriki maovu haya ni lazima wajisafishe na kukisafisha chama chao ambacho kimechukuliwa na kutumiwa na hawa waovu.
Vinginevyo, ni wakati sahih kabisa kukiacha chama hiki kife, kuliko kuendelea kuleta matatizo namna hii ndani ya nchi hii.
Lakini mleta mada ni muhimu pia uwe makini na uandishi wako.
Kichwa cha mada kinaonyesha kuwa/kama ni huyo "Pambalu" ndiye ameuawa! Siyo kuwa hili linaleta nafuu yoyote; lakini ni busara kutochanganya mambo wakati huu.
Najuwa umeweka 'semi colon,' 🙂🙂, lakini hiyo bado haionyeshi usahihi wa kichwa cha mada yako.