Uchumi TV
Member
- Apr 11, 2023
- 33
- 31
Polisi wamelazimika kufika zilipo ofisi za chadema mjini Bukoba baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa vijana Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Pambalu kwenda kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo akiwa na msafara wa boda boda.
hata hivyo polisi walipofika katika eneo hilo walioneka na kuongea na Pambalu na vija nawengine wa chadema ambapo waliweza kundoka huku akina pambalu wakiendelea na shughuli zao.
Tukio zima unaweza kulitazama katika video hapa chini.