Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAVICHA) taifa, John Pambalu amewashauri wanachama wa chama hicho kuacha kupambana kisiasa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira kwa kudai kuwa umri umemtupa mkono, na badala yake nguvu na akili zielekezwe kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Pambalu ameyasema hayo siku ya Alhamisi Februari 13, 2025 katika mkutano wa hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara John Heche uliofanyika katika kata ya Sirari wilayani Tarime mkoani Mara.