the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Anaandika mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu katika ukurasa wake wa x
--
Kumbukeni tuna chama cha kujenga baada ya uchaguzi. Udhaifu wa usiyemuunga mkono haumfanyi unayemuunga mkono kuwa kiongozi bora. Kiongozi bora anatetewa na tunu, maono na kipaji cha uongozi alichojaliwa na sio udhaifu wa mshindani wake. Tafuteni kura mkijua chama hiki ndilo tumaini pekee la taifa lililosalia. TUSIWA DISAPPOINT wanaotuamini.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025