the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Kumbe huyu dogo ana akili, lugha za staha ni muhimu Sana katika kipindi hiki Cha uchaguzi wa ndani wa chadema.Viongozi wangejiepusha na lugha za kejeli kama boni yai na wengine.Anaandika mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu katika ukurasa wake wa x
--
Kumbukeni tuna chama cha kujenga baada ya uchaguzi. Udhaifu wa usiyemuunga mkono haumfanyi unayemuunga mkono kuwa kiongozi bora. Kiongozi bora anatetewa na tunu, maono na kipaji cha uongozi alichojaliwa na sio udhaifu wa mshindani wake. Tafuteni kura mkijua chama hiki ndilo tumaini pekee la taifa lililosalia. TUSIWA DISAPPOINT wanaotuamini.
View attachment 3180504
Chadema inao vijana wa hovyo sana ,mmojawapo ni huyu hapa.Anaandika mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu katika ukurasa wake wa x
--
Kumbukeni tuna chama cha kujenga baada ya uchaguzi. Udhaifu wa usiyemuunga mkono haumfanyi unayemuunga mkono kuwa kiongozi bora. Kiongozi bora anatetewa na tunu, maono na kipaji cha uongozi alichojaliwa na sio udhaifu wa mshindani wake. Tafuteni kura mkijua chama hiki ndilo tumaini pekee la taifa lililosalia. TUSIWA DISAPPOINT wanaotuamini.
View attachment 3180504
Familia itaishije?Mbowe apumzike tu kwa kweli
Chadema wanajifanyaga wanahubiri demokrasia lakini hawapo diplomatic, strategic, disciplined & obedient!Kumbe huyu dogo ana akili, lugha za staha ni muhimu Sana katika kipindi hiki Cha uchaguzi wa ndani wa chadema.Viongozi wangejiepusha na lugha za kejeli kama boni yai na wengine.
vijana wamekuwa wakali asee,Chadema inao vijana wa hovyo sana ,mmojawapo ni huyu hapa.
Alindika maneno mazuri kabla hajaamua kuchagua upande na kuonesha rangi yake halisiAnaandika mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu katika ukurasa wake wa x
--
Kumbukeni tuna chama cha kujenga baada ya uchaguzi. Udhaifu wa usiyemuunga mkono haumfanyi unayemuunga mkono kuwa kiongozi bora. Kiongozi bora anatetewa na tunu, maono na kipaji cha uongozi alichojaliwa na sio udhaifu wa mshindani wake. Tafuteni kura mkijua chama hiki ndilo tumaini pekee la taifa lililosalia. TUSIWA DISAPPOINT wanaotuamini.
View attachment 3180504
Familia itaishije?
Hawezi kukubali sababu biashara yake ya kukikopesha chama na kujilipa haitakuwepo tenaMbowe apumzike tu kwa kweli
Pambalu ni moja ya vijana very conscious na tunu ya Taifa hiliChadema inao vijana wa hovyo sana ,mmojawapo ni huyu hapa.