Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mh. Kijana wa BAVICHA; Umeielewa Sera ya TASAF vizuri na kwa usahihi wake? i.e. Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF)?Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa, John Pambalu amedai kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanafanyishwa kazi ambazo si jukumu lao kuzifanya ikiwamo kutengeneza barabara, ili wapewe pesa za Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF).
Pambalu ameyasema hayo siku ya Jumapili Februari 16, 2025 wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika wilayani Igunga mkoani Tabora.
View attachment 3238984
Hawa ndio think tank ya chadema. Just imagine!!Mh. Kijana wa BAVICHA; Umeielewa Sera ya TASAF vizuri na kwa usahihi wake? i.e. Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF)?
Kwani huo Mpango unamaanisha walengwa wasifanye kazi? Ushauri wangu: Inakua ni vizuri na inapendeza zaidi Kiongozi mkubwa kama ww akalielewa jambo halafu akalifikisha kwa usahihi na ukamilifu wake kwa wananchi au walengwa wa Mpango husika. Katika hali ya kawaida, ww kiongozi unao uwezo wa kumtaka Mwezeshaji wa TASAF ahudhurie kikao na atoe maelezo ya kina kuhusu Mpango mzima wa TASAF, halafu Kiongozi wa kikao i.e. Wewe(BAVICHA); Upokee maswali au katika kuzungumzia Agenda hiyo upite mule-mule kwa ukizingatia alichokisema mwezeshaji wa TASAF. Tofauti na hapo itawachanganya wananchi na Mpango mzima utaanza kuchukua sura ya kisiasa. Ni hayo tu.
Hili jamaa kweli hamnazo kama hawa ndio watoa maamuzi chama kinaenda kufaAliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa, John Pambalu amedai kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanafanyishwa kazi ambazo si jukumu lao kuzifanya ikiwamo kutengeneza barabara, ili wapewe pesa za Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF).
Pambalu ameyasema hayo siku ya Jumapili Februari 16, 2025 wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika wilayani Igunga mkoani Tabora.
View attachment 3238984
Hata mm namshangaa. TASAF haijaanza leo na Utekelezaji wake Upo ndani ya Halmashauri ya Wilaya husika.Dah! Huyu kijana kweli boya. Kwani suala la watu kupewa ajira za muda kama hizo limeanza Leo? Mbona linafantika miaka yote?
TAL anayo kazi kweli kweli kama atawakumbatia watu aina hii.Hawa ndio think tank ya chadema. Just imagine!!
Aisee! Dah! Ameniangusha kweli mm kama mwezeshaji mtarajiwa wa TASAF ngazi ya Wilaya(Halmashauri). Ona sasa watu watadhani kazi ya TASAF ni kugawa fedha bure kwa Jamii alimradi kaya yako hiyo iwe ni kaya masikini.Hili jamaa kweli hamnazo kama hawa ndio watoa maamuzi chama kinaenda kufa
Huelewi chochote.Dah! Huyu kijana kweli boya. Kwani suala la watu kupewa ajira za muda kama hizo limeanza Leo? Mbona linafantika miaka yote?
CHADEMA YA SASA KILA MTU ANAZUNGUMZA KINACHOMJIA KICHWANIAliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa, John Pambalu amedai kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanafanyishwa kazi ambazo si jukumu lao kuzifanya ikiwamo kutengeneza barabara, ili wapewe pesa za Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF).
Pambalu ameyasema hayo siku ya Jumapili Februari 16, 2025 wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika wilayani Igunga mkoani Tabora.
View attachment 3238984
Hapana. Funguka na uelewe Ni nini TASAF na Malengo yake. Wale walengwa wanafanya kazi kidogo isiyoendana na Malipo makubwa wanayopata (not equal to Value for Money) tena inatakiwa uwe up-to-date kujua ajira siku hizi ni kitu adimu. Watu/Matajiri huwa wanaajiri watu "Able bodied" na sio wazee au watu ambao hawana utegemezi mahali popote e.g. wajane/wagani wasio na watoto wakuwapiga tafu au Jamii imeshindwa kuwasupport katika mahitaji yao ya lazima (Basic needs)Chakula, Makazi, Mavazi au Afya tofauti na hapo ina mana Mlengwa ataathirika vibaya zaidi na anaweza kupoteza uhai/maisha.Huelewi chochote.
Watu wanafanyishwa kazi kama vibarua, wakati hela za kulipa vibarua zipo.
Nafahamu sana. Ninyi wadandia mada kazi yenu kuropoka tu. Mimi nimehudhuria Semina ya hilo suala na makubaliano yaliyofikiwa nayajua.Huelewi chochote.
Watu wanafanyishwa kazi kama vibarua, wakati hela za kulipa vibarua zipo.
Vijinga sana hivi vitoto. Lakini kwa Mwl. Pambalu simshangai. Yeye Mwalimu na mamaake Mwalimu, lakini kutwa kucha anatukana walimu! Ovyo kabisa!Hata mm namshangaa. TASAF haijaanza leo na Utekelezaji wake Upo ndani ya Halmashauri ya Wilaya husika.
Hahahaa. Dah! Ajabu kweli. Mtu na mamaake wanajitukana wenyewe kutwa kuchwa.Vijinga sana hivi vitoto. Lakini kwa Mwl. Pambalu simshangai. Yeye Mwalimu na mamaake Mwalimu, lakini kutwa kucha anatukana walimu! Ovyo kabisa!
Sidhani kama analijua hilo. Angelikuwa analijua hilo, asingeandika hayo aliyoandika.Nafahamu sana. Ninyi wadandia mada kazi yenu kuropoka tu. Mimi nimehudhuria Semina ya hilo suala na makubaliano yaliyofikiwa nayajua.
Halafu cha kukusaidia, Kuna pesa ya TASAF ili uipate LAZIMA ufanye kazi ndio ulipwe. Unalijua hilo?
Ahahahahaha!!!Hahahaa. Dah! Ajabu kweli. Mtu na mamaake wanajitukana wenyewe kutwa kuchwa.
Wacha tuwaelimishe. Kukubali elimu au kukataa ibaki juu yao.Sidhani kama analijua hilo. Angelikuwa analijua hilo, asingeandika hayo aliyoandika.
Kwaza mpango wa TASAF sidhani kama unawakamua wananchi maskini au unawakwamua wafanyakazi WATASAF. Kwasababu unakuta inapita kami miezi sita au saba alafu watu wanakuja kugawiwa 45,000 tena baada ya kufanya kazi ngumu, wengi wao ni wazee na walemavu ambao wengi wao wametelekezwa na watototo sao na ndugu zao. Kuna baadhi wamebahatika wamejengewa chumba k,imoja cha kujisitiri n.k. mimi kwa maoni yangu shirika la TASAF lije na mipango yakuzikwamua hizo kaya maskini la sivyo itazidi kuzalisha. Kwa sababu hawaangalii nini,, na chanzo cha huyo mtu kuwa hivyo je tufanyeje ili asitokee mtu mwingine wasampuri hii. Sidhaani kama mfumo wanakwenda nao ni sahihi wao wanazunguka na magari ya thamani na wafanyakazi wanalipwa mishara minono wanawaendea watu dhoofu hali. Basi hizo kazi wanazo wapa zingekuwa za permanent ili wajue kila mwezi wanapata hicho kiasi kidogo.Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa, John Pambalu amedai kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanafanyishwa kazi ambazo si jukumu lao kuzifanya ikiwamo kutengeneza barabara, ili wapewe pesa za Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF).
Pambalu ameyasema hayo siku ya Jumapili Februari 16, 2025 wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika wilayani Igunga mkoani Tabora.
View attachment 3238984
Ajira za muda ni mojawapo ya mipango ndani ya TASAF. Hauhusiani na mpango wa kunusuru kaya masikini.Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa, John Pambalu amedai kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanafanyishwa kazi ambazo si jukumu lao kuzifanya ikiwamo kutengeneza barabara, ili wapewe pesa za Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF).
Pambalu ameyasema hayo siku ya Jumapili Februari 16, 2025 wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika wilayani Igunga mkoani Tabora.
View attachment 3238984