Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Huyo ndo weweAllhamdulillah
Pambana kushinda sio kushindwa.
π€ Tengeneza mazingira ya kusaidia ila sio kusaidiwa.
π€ Jipange kujiajiri sio kuajiriwa.
π€ IQ yako ndo uwezo wako so jitahidi kutoka hapo ulipo.
π€ You are the Champion
π₯π₯π₯ππΉπΏ
View attachment 2551751
Babaako si ndioHuyu ndiye askari wa kule visiwani?