Haka ndio kamsemo kapya mjini, nakapenda sababu kanawaziba midomo wanafiki na wazandiki ambao kutwa kusemana na kusengenyana badala ya kupambana kujikwamua na hali zao duni.
haka ndio kamsemo kapya mjini,nakapenda sababu kanawaziba midomo wanafiki na wazandiki ambao kutwa kusemana na kusengenyana badala ya kupambana kujikwamua na hali zao duni,PAMBANA NA HALI YAKO!