Pambana na hali yako

Pambana na hali yako

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
4,320
Reaction score
6,686
Haka ndio kamsemo kapya mjini, nakapenda sababu kanawaziba midomo wanafiki na wazandiki ambao kutwa kusemana na kusengenyana badala ya kupambana kujikwamua na hali zao duni.

PAMBANA NA HALI YAKO!
 
haka ndio kamsemo kapya mjini,nakapenda sababu kanawaziba midomo wanafiki na wazandiki ambao kutwa kusemana na kusengenyana badala ya kupambana kujikwamua na hali zao duni,PAMBANA NA HALI YAKO!
Pambana na hali yako

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Bange hizi.
Lolote unalookota mtaani unaleta humu. Hata uzi hauna wachangiaji
pambana na hali yako
 
Back
Top Bottom