Pambana na hali yako

Pambana na hali yako

Kikokotoo

Member
Joined
Apr 28, 2017
Posts
36
Reaction score
42
Wakuu Kwema? Nimeona ni vema tuelezane yafuatayo kwa upole tu;
1. Kupeleka watoto Shule Wakati uchumi umeshayumba kwa sasa ni kujiumiza..Mpeleke Mtoto Shule utakayoweza kulipa..Pambana na Hali yako
2.Kuendelea kutumia usafiri Wakati hela ya Mafuta imeshakuwa adimu ni kujiumiza..Tumia usafiri wa jumuiya /Mwendokasi. .Pambana na Hali yako
3. Kupanga nyumba nzima Wakati Huna Familia kubwa na kodi zimekuwa shida ni kujiumiza. .Pambana na Hali yako
4.Kuwa na mchepuko Wakati Huna uwezo wa kumhudumia ni kutafuta stress na kujiumiza kiuchumi..Pambana na Hali yako
5.Kuwa na Wadogo zako ambao hawana kazi Mjini Wakati huu Wakati uchumi umeshuka Ni kujiumiza. .Warudishe Kijijini Tu! Pambana na Hali yako

Nawasilisha Wadau !

Kikokotoo!
 
Kwa mpambanaji siku zote yeye kwake anaona kawaida ije hali ngumu anaona kawaida ije hali nzurii anaona kawaida pia, sii kazoea kupambana muda wote.

Kwa wale wavivu wavivu wazoea mtelemko, wazoa rahisi rahisi lazima ataona kama unayo yaona wewe hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaaaaa.........!!

It ain't easy.

Work harder
Work smarter.
 
Pambana na Hali yako.

Naona ndio Habari ya Mujini
 
Wakuu Kwema? Nimeona ni vema tuelezane yafuatayo kwa upole tu;
1. Kupeleka watoto Shule Wakati uchumi umeshayumba kwa sasa ni kujiumiza..Mpeleke Mtoto Shule utakayoweza kulipa..Pambana na Hali yako
2.Kuendelea kutumia usafiri Wakati hela ya Mafuta imeshakuwa adimu ni kujiumiza..Tumia usafiri wa jumuiya /Mwendokasi. .Pambana na Hali yako
3. Kupanga nyumba nzima Wakati Huna Familia kubwa na kodi zimekuwa shida ni kujiumiza. .Pambana na Hali yako
4.Kuwa na mchepuko Wakati Huna uwezo wa kumhudumia ni kutafuta stress na kujiumiza kiuchumi..Pambana na Hali yako
5.Kuwa na Wadogo zako ambao hawana kazi Mjini Wakati huu Wakati uchumi umeshuka Ni kujiumiza. .Warudishe Kijijini Tu! Pambana na Hali yako

Nawasilisha Wadau !

Kikokotoo!
Mleta mada una dalili za kimaskini sana

Siku zote anayetaka kufanikiwa huwa ana aim higher.
 
to be frank
Binafsi Naona maisha yapo okay, sijutii kwa lolote , pumzi tunayopewa bure kila siku ni baraka tosha, vingine vilivobak ni kupambana navyo tu, kulalamika kunadhoofisha zaidi afya zetu ( in my perspectives )

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom