Pambana na hali yako

Pambana na hali yako

cosa nostra

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
1,773
Reaction score
1,805
Msemo huu umeshika kasi sana miezi ya hivi karibuni

naombeni kujua ni nani alianzisha msemo huu,

mimi binafsi nimemsikia sana Dogo Msodoki YoungKiller akiutumia kwenye track zake
ika sijaua ni yeye au kuna mwingine muasisi


Nampa hongera huyo mtu kwani sasa msemo huu kama ni Nyimbo basi imeuza Platnum 5
 
Back
Top Bottom