Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hivi ndivyo mgogoro na malumbano juu ya chanjo ya Corona kati Gwajima wawili unaweza kumalizwa bila yoyote kupata ushindi;
Waziri na naibu waziri wake watatenguliwa uwaziri na kubaki wabunge wa kawaida kwa kigezo cha kushindwa kumudu usimamizi wa chanjo bila purukushani.
Gwajima kutenguliwa uanachama na ubunge wake au kupewa adhabu ya muda mrefu kukaa nje ya bunge, mwaka 2025 atakatwa mapema sana pia.
Kwa jinsi sakata hili ambalo kila wiki linachakua sura tofauti litaisha bila mshindi.