#COVID19 Pambano la chanjo ya COVID-19 kati ya Askofu na Waziri Gwajima litaisha bila mshindi, wote watapoteza pambano

#COVID19 Pambano la chanjo ya COVID-19 kati ya Askofu na Waziri Gwajima litaisha bila mshindi, wote watapoteza pambano

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Hivi ndivyo mgogoro na malumbano juu ya chanjo ya Corona kati Gwajima wawili unaweza kumalizwa bila yoyote kupata ushindi;

Waziri na naibu waziri wake watatenguliwa uwaziri na kubaki wabunge wa kawaida kwa kigezo cha kushindwa kumudu usimamizi wa chanjo bila purukushani.

Gwajima kutenguliwa uanachama na ubunge wake au kupewa adhabu ya muda mrefu kukaa nje ya bunge, mwaka 2025 atakatwa mapema sana pia.

Kwa jinsi sakata hili ambalo kila wiki linachakua sura tofauti litaisha bila mshindi.
 
Samia leo ameshasema huwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa, hapo maana yake kelele zitaendelea kupigwa mpaka wote na mashabiki wao wachoke wanyamaze wenyewe.
 
Itafika mahali ataambiwa serikali yake inaaibika kwa malumbano na misuto kama kwenye ngoma za vigodoro.
Samia leo ameshasema huwezi kumzuia mwanadamu mwenye kinywa, hapo kelele zitaendelea kupigwa mpaka wote na mashabiki wao wachoke wanyamaze wenyewe.
 
Itafika mahali ataambiwa serikali yake inaaibika kwa malumbano na misuto kama kwenye ngoma za vigodoro.
Sioni ugumu wa kumuita Gwajima na kumweleza ukweli kuwa anachokifanya kwa watanzania ni sawa na alichokifanya Kibwetere.
 
Gwajima ni mhuni tu hana uwezo wa kushindana na vyombo vya dola na awache kabisa kucheza na maisha ya watu.
 
Mpaka sasa Askofu anaongoza 3 - 0 na amepiga mwamba wa goli kama mara mbili🤣
 
3 - 2, Mume wa Dorothy kasema baba yake alishafariki tangu 2019, huyu wa leo sio baba yao.
Mpaka sasa Askofu anaongoza 3 - 0 na amepiga mwamba wa goli kama mara mbili[emoji1787]
 
3 - 2, Mume wa Dorothy kasema baba yake alishafariki tangu 2019, huyu wa leo sio baba yao.
.
Screenshot_20210822-192501.jpg
 
3 - 2, Mume wa Dorothy kasema baba yake alishafariki tangu 2019, huyu wa leo sio baba yao.
Mpaka Gwajima kafika jumapili bila kukamatwa na kuhojiwa, ilitakiwa Dorothy ajitoe kwenye huu mpambano...sasa hivi hana cha kufanya zaidi ya kuzuia kwa kujitetea makombora kutoka kwa Askofu
 
Gwajima hajawahi kushindwa kwenye hayo mapambano.
Kulikuwa hakuna mbabe Kama bashite, Ila kwa gwajima alichemsha
 
Huyo waziri hana hoja zenye mashiko [emoji23][emoji23] unaona sasa kapigwa nyundo moja tu yaan
 
Gwajima mzee wa mfifiro hana cha kupoteza na hapapatikii hivyo viele vya ubunge.Tatzo hao kina molle na Dr.gwajima ndo kwao wanaendekeza njaa.

Ni mjinga tu ataamini Gwajima amegombea ubunge kufata hela ambazo amejikusanyia KWA wamumini/kondoo wake KWA kuwafyonza miaka nenda rudi
 
Back
Top Bottom