Samia leo ameshasema huwezi kumzuia mwanadamu mwenye kinywa, hapo kelele zitaendelea kupigwa mpaka wote na mashabiki wao wachoke wanyamaze wenyewe.
Afadhali ingemtandika hapo ndiyo anagepata ufahamuNasubiri Bishop apate UVIKO ili maandiko yatimie
Sioni ugumu wa kumuita Gwajima na kumweleza ukweli kuwa anachokifanya kwa watanzania ni sawa na alichokifanya Kibwetere.Itafika mahali ataambiwa serikali yake inaaibika kwa malumbano na misuto kama kwenye ngoma za vigodoro.
.3 - 2, Mume wa Dorothy kasema baba yake alishafariki tangu 2019, huyu wa leo sio baba yao.
Mpaka Gwajima kafika jumapili bila kukamatwa na kuhojiwa, ilitakiwa Dorothy ajitoe kwenye huu mpambano...sasa hivi hana cha kufanya zaidi ya kuzuia kwa kujitetea makombora kutoka kwa Askofu3 - 2, Mume wa Dorothy kasema baba yake alishafariki tangu 2019, huyu wa leo sio baba yao.