Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi inapatikana kwenye DSTV? na kama inaonekana ni channel namba ngapi mkuu?Pambano la Cheka limeanza muda huu kupitia channel Star Sports 1 limengia kwenye raundi ya tatu. Cheka anajitahidi sana. Watu wamejaa sana mithili ya watazamaji wa Yanga na Simba. Tumpe sapoti.
Sasa akirudi na wahindi watamwambia asiwazingue!Hatimae cheka apigwa na govinder
Uongo pambano linapigwa baadaye
Uongo pambano linapigwa baadaye
Kuna kipindi alikuwa anafanya mazoezi kwa kusukuma tairi la trekta msimchukulie huyo gobachori poa anaweza kuwa fundi kweli au cheka wetu kaisha jichokeaMtu anashindia mihogo atampiga nani huko... Watu wameandaliwa wana gym za maana na makocha wazuri wa ngumi Kwanini asipigwe TKO.