Pambano la Cheka limeanza muda huu

Pambano la Cheka limeanza muda huu

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Pambano la Cheka limeanza muda huu kupitia channel Star Sports 1 limengia kwenye raundi ya tatu. Cheka anajitahidi sana. Watu wamejaa sana mithili ya watazamaji wa Yanga na Simba. Tumpe sapoti.
 
upload_2016-12-17_19-48-34.png
 
Pambano la Cheka limeanza muda huu kupitia channel Star Sports 1 limengia kwenye raundi ya tatu. Cheka anajitahidi sana. Watu wamejaa sana mithili ya watazamaji wa Yanga na Simba. Tumpe sapoti.
Vipi inapatikana kwenye DSTV? na kama inaonekana ni channel namba ngapi mkuu?
 
Hivi ile familia ya akina MATUMLA iko wapi,maana wale ndio wenye kazi yao ........???
 
Mtu anashindia mihogo atampiga nani huko... Watu wameandaliwa wana gym za maana na makocha wazuri wa ngumi Kwanini asipigwe TKO.
 
Mtu anashindia mihogo atampiga nani huko... Watu wameandaliwa wana gym za maana na makocha wazuri wa ngumi Kwanini asipigwe TKO.
Kuna kipindi alikuwa anafanya mazoezi kwa kusukuma tairi la trekta msimchukulie huyo gobachori poa anaweza kuwa fundi kweli au cheka wetu kaisha jichokea
 
Wapiganaji wa bongo wengi nimewaangalia huweza kushinda lakini michezo yao haina utaalamu sana wana kauzito au kauzubaifu fulani, hushinda tuu kwa maguvu pale kwa bahati watakutana na mpinzani ambaye hana wepesi wa kutosha.
 
Back
Top Bottom