Pambano la Cheka limeanza muda huu

Kuna kipindi alikuwa anafanya mazoezi kwa kusukuma tairi la trekta msimchukulie huyo gobachori poa anaweza kuwa fundi kweli au cheka wetu kaisha jichokea
Huyo cheka kwanza kamati za ufundi nyingi, ndio maana maboksa wetu wakienda nje wanakutana na visago heavy... Unakumbuka alivyobebwa lile pambano lake na lililo fanyika hapa bongo!?!?
 
Nilikuwepo pale ...almanusura niondoke na roho ya mtu
 
Ww umewahi kuckia bondia mhindi anatisha kwa kupiga watu kwny ngumi za kimataifa?!

Amir Iqbal Khan is a British professional boxer. He is a former unified light-welterweight world champion, having held the WBA title from 2009 to 2012, and the IBF title in 2011

Namsikia tu japo sijawahi kushuhudia pambano lake...
 
Mwingereza huyo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hukuskia pale ana mpiga cheka huku ana sema kuch kuch hotae[emoji441] [emoji444]
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ulimcheki yule babu ana mandevu aliyekaa lock up muda bila kula? Au nimemfananisha...
 
Ukiangalia pambano la cheka unaweza kujiuliza hvi sisi tunaweza nini in International Arenas? Bora tujikite tu kwenye Viwanda
 
Ukiangalia pambano la cheka unaweza kujiuliza hvi sisi tunaweza nini in International Arenas? Bora tujikite tu kwenye Viwanda
Upo mchezo wa kukosoa na kuponda pasipo kutoa njia mbadala huu tukiufuatilia kimkakati tutafika mbali katika medani za kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…