Shuleless
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 4,957
- 6,221
Huyo cheka kwanza kamati za ufundi nyingi, ndio maana maboksa wetu wakienda nje wanakutana na visago heavy... Unakumbuka alivyobebwa lile pambano lake na lililo fanyika hapa bongo!?!?Kuna kipindi alikuwa anafanya mazoezi kwa kusukuma tairi la trekta msimchukulie huyo gobachori poa anaweza kuwa fundi kweli au cheka wetu kaisha jichokea