Pambano la mayweather s pacman litaonyeshwa Chanel gani!!?


Mkuu umeua kabisa
 
Mkuu Kwa Tz Angalia EATV, Kwa Kenya Kama Una Zuku Angalia Qtv, Fox Sport, Sawa? Kama Hujaona Utani Pm Maana Mm Nitakuwa Naangalia
 

Saa kumi na moja asubui mkuu
 
Kwann ucoment Na kutaja wamasai taja kabila lako kweli we ni mtumwa Wa kifikira au bado hujapona ule ugonjwa wako
 
Wadau hili pambano sio la kuhadithiwa au kusubilia uangalie replay! Ni channel ipi itaonyesha!?

Mkuu hili pambano litaonyeshwa 3-5-2015 kwenye superspot package ya PREMIUM lakini halitaonyeshwa LIVE.

Hio tarehe tatu itakuwa ni recorded tu,halirushwi laivu na channel yeyote duniani.Hata hivyo hawataja ni supersport ipi lakini package ndio hiyo
 
Didytv saakumikasoorobo usiku@ur ownrisk
 

Nilifikiri waKenya wameniathiri mimi tu!
Maana kule heka heka mtindo mmoja.
 

Acha utani rafikii......sheeeh !
 

Fny bt 2ruu
 
ss2 ndo wataonyesha ila sijajua kama itakuwa live;:
 
Tarehe 2 Ni Jumamosi Au Jumapili? Mbona Siwaelewi

Mkuu kutokana na tofauti kubwa ya masaa iliyopo kati ya USA, na EAST AFRICA,, pambano ni jumamosi tarehe 2,kwa muda wa USA, ila kwa hapa kwetu itakuwa ni jumapili tarehe 3,saa 2 asubuhi.
 

Umetisha saana white wizard na maandishi haya....mpaka faza angu hapa kacheka ilhali hajui hata nachekea nini..nimecheka kwa msisimko wote!
 
Kwa kadiri nijuavyo mimi pambano kama hili huonyesha kwa PPV pay per view
Yaani unalipia tofauti na vifurushi vingine ndio unaona
Sidhani kama supersports wana huduma ya ppv ya pambano hili

Supersports watainyesha lakini sio live kutakua na tofauti ya kama lisaa limoja au zaidi
 
Mkuu hili pambano litaonyeshwa 3-5-2015 kwenye superspot package ya PREMIUM lakini halitaonyeshwa LIVE.

Hio tarehe tatu itakuwa ni recorded tu,halirushwi laivu na channel yeyote duniani.Hata hivyo hawataja ni supersport ipi lakini package ndio hiyo

Mbona nimeona super sport six wataonyesha ila sijajua ni package gani hyo ya kulipia.
 
Jamani muda ni saa tisa usiku wa jumamosi yaani kabla haijawa jumapili asubuhi basi hapo ndo muda wa kuamka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…