Pambano la mayweather s pacman litaonyeshwa Chanel gani!!?

Pambano la mayweather s pacman litaonyeshwa Chanel gani!!?

hawa ni wazee wa fitina tupu, kuna mgari wao wa matangazo ya live, walipewa na wachina, wakalizindua kwa mbwembwe, kuwa kusini wa Afrika ndio gari pekee la aina hiyo, cha ajabu wakionyesha mechi live ni aibu huo uwanja utadhania jua limepatwa!! nusu ni giza nusu mwanga!! halafu hata watangazaji wake wapo kama hawana furaha hivi!! kama vile bora liende, mi huwa napenda kuangalia tv za kenya bwana, mdada tabasamu la kutosha, nguo za kisasa, mtoto mrembo, anatangaza akiwa ame relax, sasa hawa wa tbc utadhani wanajeshi wamepindua nchi sasa ndio wanatoa briefing!!hee kumbe mmama anatangaza news bulletin!!

Mkuu umeua kabisa
 
Mkuu Kwa Tz Angalia EATV, Kwa Kenya Kama Una Zuku Angalia Qtv, Fox Sport, Sawa? Kama Hujaona Utani Pm Maana Mm Nitakuwa Naangalia
 
kwa tz bwana, ukitaka usiwe na pressure juu ya michezo yote duniani, ni kuwa na DSTV ndani. Unamaliza mchezo lakini haya mengine ni takakata tu, ila uwezo ndio unagoma tutafanyaje! labda wa mikoani kidogo kwa kupitia cables wanaweza kuliona ila uhakika ni supersports. na pambano lenyewe ni saa moja asubuhi siku ya j2 kwa saa za Afrika Mashariki,ndio wanaume wanapanda ulingoni, mapambano ya utangulizi yataanza kwenye saa kumi alfajiri. Kwani kwenye muda hapa mala nyingi huwa ni shedaaa!! mtu anaanza kusubiri tangu saa 4 usiku!! anachoka na kulala ndio game linaanza.

Saa kumi na moja asubui mkuu
 
Kwann ucoment Na kutaja wamasai taja kabila lako kweli we ni mtumwa Wa kifikira au bado hujapona ule ugonjwa wako
 
Wadau hili pambano sio la kuhadithiwa au kusubilia uangalie replay! Ni channel ipi itaonyesha!?

Mkuu hili pambano litaonyeshwa 3-5-2015 kwenye superspot package ya PREMIUM lakini halitaonyeshwa LIVE.

Hio tarehe tatu itakuwa ni recorded tu,halirushwi laivu na channel yeyote duniani.Hata hivyo hawataja ni supersport ipi lakini package ndio hiyo
 
Didytv saakumikasoorobo usiku@ur ownrisk
 
hawa ni wazee wa fitina tupu, kuna mgari wao wa matangazo ya live, walipewa na wachina, wakalizindua kwa mbwembwe, kuwa kusini wa Afrika ndio gari pekee la aina hiyo, cha ajabu wakionyesha mechi live ni aibu huo uwanja utadhania jua limepatwa!! nusu ni giza nusu mwanga!! halafu hata watangazaji wake wapo kama hawana furaha hivi!! kama vile bora liende, mi huwa napenda kuangalia tv za kenya bwana, mdada tabasamu la kutosha, nguo za kisasa, mtoto mrembo, anatangaza akiwa ame relax, sasa hawa wa tbc utadhani wanajeshi wamepindua nchi sasa ndio wanatoa briefing!!hee kumbe mmama anatangaza news bulletin!!

Nilifikiri waKenya wameniathiri mimi tu!
Maana kule heka heka mtindo mmoja.
 
kweli nawapenda sana, ila hapo kwenye udhamini ndio shidaaa!! kwani wanavyofanana hata akiharibu kumpata ni inshu!! tena unaweza kuwa unapishana naye, na kumuuliza yelooo ile baba yoyo iko wapi siku hizi? atakwambia ipo monduli imefuata dawa!! kumbe ndio mbaya wako huyo, inakuwa kama ile KESI YA KANGA.

Acha utani rafikii......sheeeh !
 
Hivi hawa TBC ni watu wa kuamini hata siku moja kwenye events!! bado dk kumi unatangaziwa Tunajiunga na mtangazaji wetu Greisony msigwa toka songea, ambako MZEE WA KUTEMBEA NA MIKASI MIFUKONI, anazidua ghala la nafaka!! utafanya nini, kutegemea tbc, jua ni sawa na kumdhamini mmsai mahakamani/au polisi any tyme utabaki na shuka,. hapo sijaweka mala No signal, mala no service!!!

Fny bt 2ruu
 
ss2 ndo wataonyesha ila sijajua kama itakuwa live;:
 
Tarehe 2 Ni Jumamosi Au Jumapili? Mbona Siwaelewi

Mkuu kutokana na tofauti kubwa ya masaa iliyopo kati ya USA, na EAST AFRICA,, pambano ni jumamosi tarehe 2,kwa muda wa USA, ila kwa hapa kwetu itakuwa ni jumapili tarehe 3,saa 2 asubuhi.
 
Hivi hawa TBC ni watu wa kuamini hata siku moja kwenye events!! bado dk kumi unatangaziwa Tunajiunga na mtangazaji wetu Greisony msigwa toka songea, ambako MZEE WA KUTEMBEA NA MIKASI MIFUKONI, anazidua ghala la nafaka!! utafanya nini, kutegemea tbc, jua ni sawa na kumdhamini mmsai mahakamani/au polisi any tyme utabaki na shuka,. hapo sijaweka mala No signal, mala no service!!!

Umetisha saana white wizard na maandishi haya....mpaka faza angu hapa kacheka ilhali hajui hata nachekea nini..nimecheka kwa msisimko wote!
 
Kwa kadiri nijuavyo mimi pambano kama hili huonyesha kwa PPV pay per view
Yaani unalipia tofauti na vifurushi vingine ndio unaona
Sidhani kama supersports wana huduma ya ppv ya pambano hili

Supersports watainyesha lakini sio live kutakua na tofauti ya kama lisaa limoja au zaidi
 
Mkuu hili pambano litaonyeshwa 3-5-2015 kwenye superspot package ya PREMIUM lakini halitaonyeshwa LIVE.

Hio tarehe tatu itakuwa ni recorded tu,halirushwi laivu na channel yeyote duniani.Hata hivyo hawataja ni supersport ipi lakini package ndio hiyo

Mbona nimeona super sport six wataonyesha ila sijajua ni package gani hyo ya kulipia.
 
Jamani muda ni saa tisa usiku wa jumamosi yaani kabla haijawa jumapili asubuhi basi hapo ndo muda wa kuamka
 
Back
Top Bottom