JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Mkuu wewe kweli ni mpenzi wa masumbwi si kama huyo aliyeandika UHARO comment namba mbili ni kiazi poriMfaume Mfaume mpumbavu sana, kampig kichwa cha makusudi Pialali
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Mfaume muhuni, ameicheza rafu kwaujanja sana mpaka Refa awe Makini.Hawa walitaka wamalize TU pambano maana hata kuingia ilichukua mda sana wanabahati Arusha wanyonge dar wangerudisha hela
Wa kwanza kutakiwa kuingia uwanjani ni Mfaume, dogo kaitwa mara tatu imemchukua dakika zaidi ya 11 ndipo anaingia uwanjani,Hawa walitaka wamalize TU pambano maana hata kuingia ilichukua mda sana wanabahati Arusha wanyonge dar wangerudisha hela
Arusha sio wanyonge,huku sisi. Hatufagilii ndondi, hata ukiangalia waliojaa ukumbini wametoka Dar.Hawa walitaka wamalize TU pambano maana hata kuingia ilichukua mda sana wanabahati Arusha wanyonge dar wangerudisha hela
Mfaumeqna amini uchawi?.Peresu peresu huko vipi
Mfaume alikuwa anapoteza hili pambano maana hata fitness na confidence ya Pialali ilikuwa juu sanaWa kwanza kutakiwa kuingia uwanjani ni Mfaume, dogo kaitwa mara tatu imemchukua dakika zaidi ya 11 ndipo anaingia uwanjani,
Yule Pialali kaingia muda on time, hivyobasi inaniwiwa kusema Mfaume kuna viashiria vya mambo ya kiswahili.
Halafu kubwa zaidi hana Fair Play, jamaa (Pialali) mstaarabu na anajua nini ngumi, all in all Promota aandae pambano warudiane.
Hamna bhana yes Kuna waliotoka dar ila Arusha walikuwa wengi sana na Arusha wanagilia michezo kama kawaida si uliona kirombero pale watu walifurika.Arusha sio wanyonge,huku sisi. Hatufagilii ndondi, hata ukiangalia waliojaa ukumbini wametoka Dar.