Pambano la Mfaume Mfaume na Iddy Pialali lavunjwa raundi ya kwanza

Pambano la Mfaume Mfaume na Iddy Pialali lavunjwa raundi ya kwanza

Mapambano ya Jana mengi Sana yalikuwa ya hovyo kabisa, Kama sikosei mawili ndio yalikuwa mapambano ile yalobaki ni walevi tu.
Pambano la Mfaume Mfaume na Pialali, Kama lilipoishia ingekuwa wanahesabu point Mfaume alipigika.
Na nadhani Mfaume aligundua Kuna kudharirika pale, akatumia mbinu za medani
Rais wa ngumi na Azam wamemsitiri mfaume
 
Kosa la Mfaume ni lipi..? Bondia wamekutana kati wamegongana Vichwa mmoja kapata cutt sasa una anza kusema mambo ya uhuni.
Kidunda na Katompa ile Cutt ya Kidunda ilikuwa uhuni ?
 
Kuitwa mara tatu na kutoka baada ya dakika kumi na moja ni Sehemu ya mchezo.
Uliangalia pambano la Dullah na Twaha Kiduku ?
Fight yoyote ngumu haya ni mambo ya kawaida mno.
 
Rais wa ngumi na Azam wamemsitiri mfaume
Pambano lilikuwa round ya kwanza dakika ya kwanza.
Kwa msingi wa ngumi hauwezi kuchambua na kutoa maoni ya jumla kwa bondia yoyote.
Msingi ni kutoa heshima kwa mabondia wote.
Pambano ngumu na mabondia wakikamiana haya mambo ni ya kawaida mno.
Evender na Tyson mapambano yao yote yalikuwa na mambo mengi mno mara kung'atwa sikio.
Kidunda na Katompa lilikuwa pambano ngumu na lenye hisia kubwa.
Kidunda na Katompa wana gongana vichwa na Kidunda ana pata Cutting pambano lina vunjika.
Tukumbuke Mfaume Mfaume na Idd Pialali pambano lao ni pambano gumu mno.
Sasa basi presha ilikuwa kubwa kuanzia kwa mabondia mpaka makocha wao.
 
Back
Top Bottom