Msimamizi wa pambano la hassan mwakinyo dhidi ya Patrick Allotey hajalipwa dola zake, hajafika kwenye pambano na hapokei simu, pambano limeshindikana kuchezwa kuchezwa kwa kuwania mkanda wa wbo Afrika.
Promoters, matchmakers na bodi ya ngumi ilibidi wawe mstari wa mbele kukamilisha malipo hayo, ajabu ni kwamba TPBRC walitoaje kibali kwa hali hii ?
Ikumbukwe Pambano lililopita Mwakinyo aligoma kupanda aliwaangizia hasara promoters, kwa sasa kinachoendelea wanamkomoa !!
Pia soma: