MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Papai hata liwe zuri namna gani.... Sokoni haliendi lenyewe, linapelekwa.Babu kipaji kapewa na Mungu sio taasisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Papai hata liwe zuri namna gani.... Sokoni haliendi lenyewe, linapelekwa.Babu kipaji kapewa na Mungu sio taasisi
bodi ya ngumi ilitangaza kufuta pambano siku nyingi tu ndugu.mm nachojiuliza ilikuaje wao wameendelea na ratiba? kwangu haikua suprise nilitarajia haya kutokeaNdicho kinachoendelea
Promoters, matchmakers na bodi ya ngumi ilibidi wawe mstari wa mbele kusimamia malipo ya huyo msimamizi kama wanavyofanya kwa kina Twaha, Katompa, n.k. wamemfanya maksudi kwa Mwakinyo kumfitinisha na mashabiki zake.
Waziri wa michezo aingilie kati hapa, Bodi ya ngumi walitoaje kibali wakati wanajua malipo ya msimamizi yalikuwa na kasoro, Ni wao wenyewe wametengeneza hayo mazingira
Hassan Mwakinyo shtuka kaka hao jamaa mpango wao nikukupoteza kwenye ulimwengu wa ngumi na ni wewe ndie uliewaanza kwa kuwingizia hasara ulipogoma kupanda pambano lililopita, wameapa kukupoteza.
Haingii akilini kwamba sababu ilishindikana kumlipa SAMIR CAPTAN kwapambano kubwa kama hilo kina Twaha, Ibrah class, Kidunda huwa wanapijana na haijawai kutokea jambo kama hilo
Halafu kibaya zaid wanakupa Mike uongee ili kukuchonganisha na mashabiki, hizo ni mbinu zakukupoteza kwenye game nakushauri hamia South Africa au ata apo Kenya ukaendeleze ndoto zako, achana na siasa za bongo utapotea
hii mimi nilikuwa sijui.......bodi ya ngumi ilitangaza kufuta pambano siku nyingi tu ndugu.mm nachojiuliza ilikuaje wao wameendelea na ratiba? kwangu haikua suprise nilitarajia haya kutokea
Hata mimi nakumbuka kuona tangazo la pambano kufutwabodi ya ngumi ilitangaza kufuta pambano siku nyingi tu ndugu.mm nachojiuliza ilikuaje wao wameendelea na ratiba? kwangu haikua suprise nilitarajia haya kutokea
Wewe ndo Abubakar wa Fb. Comment ndo hii hiiHassan Mwakinyo shtuka kaka hao jamaa mpango wao nikukupoteza kwenye ulimwengu wa ngumi na ni wewe ndie uliewaanza kwa kuwingizia hasara ulipogoma kupanda pambano lililopita, wameapa kukupoteza.
Haingii akilini kwamba sababu ilishindikana kumlipa SAMIR CAPTAN kwapambano kubwa kama hilo kina Twaha, Ibrah class, Kidunda huwa wanapijana na haijawai kutokea jambo kama hilo
Halafu kibaya zaid wanakupa Mike uongee ili kukuchonganisha na mashabiki, hizo ni mbinu zakukupoteza kwenye game nakushauri hamia South Africa au ata apo Kenya ukaendeleze ndoto zako, achana na siasa za bongo utapotea
Anajali kazi gani huyo janja janja mtu anayejali kazi anaweza sahau viatu vyake tatizo ashasahau wap katoka ajikuta Star na wakati mapromoter ndo waliomtoa analeta zalau hadi kwa ndugu zake kaka yake ngoja aone hao wanasiasa kama watamsaidiaNchi hii ukiwa na msimamo, ulie nyoooka, usiependa kukwepesha mambo/ukweli, unae jali kazi Yako ama kile unachokifanya..! Basi tegemea kuhujumiwa sanaaa! Tegemea kufanyiwa ushenzi ushenzi kama anaofanyiwa mwakinyo daily.
Mwakinyo kinachomponza ni misimamo yake na kuonekana anaijali kazi yake basiiiiiii.
Sababu ya kitoto sana hiiDolla zinakosekanaje kwa team yote hiyo uongozi upo, pambano limetangazwa mwezi mzima Leo ndo Dolla ikosekane
Labda kujua nasibu kalala na demu gani leo..au shilole anakazwa na nani ...ndio zetu.Tanzania sijui tunaweza nini aisee
Aaah ina maana taarifa hata azam hawakua nayo?bodi ya ngumi ilitangaza kufuta pambano siku nyingi tu ndugu.mm nachojiuliza ilikuaje wao wameendelea na ratiba? kwangu haikua suprise nilitarajia haya kutokea
Athari ipoNajiuliza
Hizi hujuma ambazo wengi wanaona kama kumkomoa Mwakinyo zina athari zozote kwa tasnia na hadhi ya boxing ya Tanzania kwa jumuiya ya kimataifa?
Watanzania wengi ni walozi