Pambano la Mwakinyo dhidi ya Patric Allotey halijafanyika. Yadaiwa msimamizi wa mashindano hajafika, hapokei simu, anatafutiwa dola

Babu kama papai lenyewe linapelekwa Kwa kubinywa binywa na kutobolewa Kwa vijiti vipi thamani na umadhubuti wake utakuwaje?
 
bodi ya ngumi ilitangaza kufuta pambano siku nyingi tu ndugu.mm nachojiuliza ilikuaje wao wameendelea na ratiba? kwangu haikua suprise nilitarajia haya kutokea
 
Huyu ni kijana wa ccm lakini mbona anafanyiwa abrakadabra
 
bodi ya ngumi ilitangaza kufuta pambano siku nyingi tu ndugu.mm nachojiuliza ilikuaje wao wameendelea na ratiba? kwangu haikua suprise nilitarajia haya kutokea
hii mimi nilikuwa sijui.......
 
Nchi hii ukiwa na msimamo, ulie nyoooka, usiependa kukwepesha mambo/ukweli, unae jali kazi Yako ama kile unachokifanya..! Basi tegemea kuhujumiwa sanaaa! Tegemea kufanyiwa ushenzi ushenzi kama anaofanyiwa mwakinyo daily.

Mwakinyo kinachomponza ni misimamo yake na kuonekana anaijali kazi yake basiiiiiii.
 
bodi ya ngumi ilitangaza kufuta pambano siku nyingi tu ndugu.mm nachojiuliza ilikuaje wao wameendelea na ratiba? kwangu haikua suprise nilitarajia haya kutokea
Hata mimi nakumbuka kuona tangazo la pambano kufutwa

Ndio maana mchumia tumbo na mwenzake walipigana round 10 ku by time basi na ndio imekuwa main card😂😂😂mchumia tumbo kawaburudisha
 
Wewe ndo Abubakar wa Fb. Comment ndo hii hii
 
Anajali kazi gani huyo janja janja mtu anayejali kazi anaweza sahau viatu vyake tatizo ashasahau wap katoka ajikuta Star na wakati mapromoter ndo waliomtoa analeta zalau hadi kwa ndugu zake kaka yake ngoja aone hao wanasiasa kama watamsaidia
 
Najiuliza
Hizi hujuma ambazo wengi wanaona kama kumkomoa Mwakinyo zina athari zozote kwa tasnia na hadhi ya boxing ya Tanzania kwa jumuiya ya kimataifa?

Watanzania wengi ni walozi
 
bodi ya ngumi ilitangaza kufuta pambano siku nyingi tu ndugu.mm nachojiuliza ilikuaje wao wameendelea na ratiba? kwangu haikua suprise nilitarajia haya kutokea
Aaah ina maana taarifa hata azam hawakua nayo?
 
Najiuliza
Hizi hujuma ambazo wengi wanaona kama kumkomoa Mwakinyo zina athari zozote kwa tasnia na hadhi ya boxing ya Tanzania kwa jumuiya ya kimataifa?

Watanzania wengi ni walozi
Athari ipo
Kwanza kuna baadhi ya mabondia toka nje wanalalamika wakipigaba Tanzania hawashindi hata kama points zinastahili

Pili haya matatizo ya kushindwa kuandaa pambano kwa uweledi huku fighting kadhaa hasa za mwakinyo zikiwa tata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…