Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Usiku wa vitasa wa leo utakuwa na mapambano nane, huku main card ikiwa ni Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo akizichapa na bondia Kutoka Ghana, Patrick Allotey ambalo ni pambano la kupambania ubingwa wa WBO, Litakuwa la Round 10
Mapambano ya utangulizi ni
1. Jamal Kunoga VS Abdallah Mahumba
Rounds: 6
Winner: Jamal Kunoga
2. Johnson Kiwia Vs Kennedy Ayoo
Rounds: 6
Winner: Kennedy Ayoo
3. Yusuphu Metu Vs Maisha Samsom (Super walter weight)
Rounds: 6
Winner: Yusuph Metu
4. Shaban Kaoneka Vs Jaylaan Muhammad
Rounds: 6
Winner: Shabaan Kaoneka
5. Amir Matumla(TZ) Vs Reagan Pacho(DRC),
Superwalter WBO
Rounds: 10
Winner: Amir Matumla.
6. Jongo Hamad Jongo Vs Alphonce MchumiaTumbo
Rounds: 6
Winner: Jongo Jongo
7. Haruna Swanga Vs Ashraf Suleiman
Round: 10
Winner: Haruna Swanga, kwa KO Round ya pili.
Ashraf Suleiman ambaye ameshindwa kwa KO amesema masuala ya kifedha na kucheleweshwa kwa pambano ni moja kati ya vitu vilivyofanya ashindwe. Hata hivyo amesema akikutana naye tena ulingoni atampiga. Pambano hili lilikuwa la heavy weight wakishindania mkanda wa TPBRC wa uzito wa juu.
8. Hassan Mwakinyo dhidi ya Patrick Allotey
Pambano kati ya Mtanzania, Hassan Mwakinyo dhidi ya Patrick Allotey la kuwania Ubingwa wa Afrika mkanda wa WBO halijafanyika kwasababu mwakilishi wa WBO Afrika, SAMIR CAPTAN hakufika ulingoni.
Pia soma: Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania mtatuambia nini kuhusu pambano la Mwakinyo?