Pambano la Mwakinyo laahirishwa, mkanda uliokuwa unapiganiwa haukuletwa ulingoni

Pambano la Mwakinyo laahirishwa, mkanda uliokuwa unapiganiwa haukuletwa ulingoni

Mashabiki wa ndondi mnafanywa misukule.
 
pesa kubwa sana inawekezwa kuinua ndondi ila wazembe wachache wanakwamisha huu mchongo.
 
Limefanyia baada ya kushindikana juzi.
Hongera Mwakinyo kwa ushindi
 
Back
Top Bottom