Pambano la Mwakinyo litapigwa saa ngapi?

GPP1922

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
537
Reaction score
537
Wadau naomba kujua muda hili pambano la bondia Mwakinyo v/s Mfilipino litapigwa saa ngapi hapo kesho?
 
Azam SPORTS 2 wataanza kuwa LIVE saa 12.30 na hapo wataanza kuonyesha MAPAMBANO YA UTANGULIZI... Mpaka anapanda ulingoni MWAKINYO itakuwa saa 4.30 Usiku! Hiyari yako kusuka ama kuweka kiduku!
Wadau naomba kujua muda hili pambano la bondia Mwakinyo v/s Mfilipino litapigwa saa ngapi hapo kesho?
 
Mwakinyo atachezea za uso hadi akome
Hili pia hata mimi linanipa shaka. Mwakinyo apigane kama vita na awe makin sana, akijisikilizia hayo masifa anayomwagiwa anaweza kujikuta anashangazwa sana leo.
 
Mwakinyo atachezea za uso hadi akome
No Mkuu lile pambano matokeo yashapangwa na SPORT PESA ili mwakinyo ashinde ili apande rank apate mapambano makubwa afu wao waanze kuvuta mpunga. Yule mfilipino ashapewa chake.
 
Game itakuwa hewani saa nne na dakika arobaini na tano wakuu!
 
Hwawa wanaongea kwenye mapambano haya ni mashabiki au wachambuzi....maana naona wanashabikia kabisa baadhi ya wapiganaji baada ya kufanya uchambuzi bora wanyamaze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…