Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau naomba kujua muda hili pambano la bondia Mwakinyo v/s Mfilipino litapigwa saa ngapi hapo kesho?
Hilo ndilo jibu la swali lililoulizwa?Mwakinyo atachezea za uso hadi akome
Naul ya getn mkuuitakuwa kuanzia SAA 1 usiku na kuendelea.
Wadau naomba kujua muda hili pambano la bondia Mwakinyo v/s Mfilipino litapigwa saa ngapi hapo kesho?
Hili pia hata mimi linanipa shaka. Mwakinyo apigane kama vita na awe makin sana, akijisikilizia hayo masifa anayomwagiwa anaweza kujikuta anashangazwa sana leo.Mwakinyo atachezea za uso hadi akome
No Mkuu lile pambano matokeo yashapangwa na SPORT PESA ili mwakinyo ashinde ili apande rank apate mapambano makubwa afu wao waanze kuvuta mpunga. Yule mfilipino ashapewa chake.Mwakinyo atachezea za uso hadi akome
No Mkuu lile pambano matokeo yashapangwa na SPORT PESA ili mwakinyo ashinde ili apande rank apate mapambano makubwa afu wao waanze kuvuta mpunga. Yule mfilipino ashapewa chake.
Wadau naomba kujua muda hili pambano la bondia Mwakinyo v/s Mfilipino litapigwa saa ngapi hapo kesho?