Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Heh ukijiachia unaonekana malaya πUkipata pisi ambayo inajiamini ni unyama sana. Shida pisi nyingi zinajua ila hazitaki uone zinajua sana kisa utaziona malaya.
Sijui huyu mdogo wangu ana hali gani πUkipata pisi flexible hakika ni raha, achana na mishangazi tukunyema yenye T3 kama ile ya Poor Brain
Kwa tamaduni za kiafrica lazima inaonekane hvyo hata kama sio kweli .Heh ukijiachia unaonekana malaya π
Ndio yale yale sie tunao alnzisha nyuzi zaivi tunaonekana malaya
Kumbe hao wanaoigiza utakatifu wachafu kutupwaa
Sijui huyu mdogo wangu ana hali gani π
Mala ya mwisho alisema yupo bagamoyo kwa mshangazi
Poor Brain
Aisee kila mtu aishi life yakeπKwa tamaduni za kiafrica lazima inaonekane hvyo hata kama sio kweli .
Na kila mtu anaishi life lakeA kila mtu aishi life yakeπ
Imeisha bwasheeNa kila mtu anaishi life lake
Kabisa , wateme songa mbele , ila tangazo la Ukimwi ni muhimuImeisha bwashee
Umeung'ang'ania huo ukimwi mzee nyuma ya keyboard watu wapo timamuKabisa , wateme songa mbele , ila tangazo la Ukimwi ni muhimu
Yeah mimi ni mdau wa afya , lazima nisisitize tena sanaUmeung'ang'ania huo ukimwi mzee nyuma ya keyboard watu wapo timamu
Sio mimi ni mtu kasema uko juu anaumwaUnaumwa nini
Asante kwa ushauri π«΄Yeah mimi ni mdau wa afya , lazima nisisitize tena sana
Ni kwanini vijana wasasa , wanaogopa na kukwepa ushauri wa kujikinga na ngoma?Asante kwa ushauri π«΄
π π π
Kama ni mpambanaji aje hapa external anifanyie deliveryTafuta kazi ya kufanya, migahawani wanalipa afu5 Kwasasa mambo kama haya unayo ya intertain hayatakupeleka popote zaid zaid uwe kiwanda cha kuzalisha watoto wanaokataliwa na baba zao
Wapambanaj wenzio muda huu wapo riverside wanauza uroda
Hata sijui ni kwaniniNi kwanini vijana wasasa , wanaogopa na kukwepa ushauri wa kujikinga na ngoma?
We mzee unanichokoza Wallah π
Jipya lipo, wengi hata hawauogopi,na wengi wameunguaHata sijui ni kwanini
Labda kwa sababu tayali wanajua
Tokea school anafundishwa so anaona hakuna jipya labda
Nipo Rwanda mkuuKama ni mpambanaji aje hapa external anifanyie delivery
Achana nao bwasheeJipya lipo, wengi hata hawauogopi,na wengi wameungua