Patrice Diounis
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 1,086
- 2,254
Mchumba vp mgao upo ?
PoleHakika hii dark side yako huwa inanifanya nikutamani sana.
Usinipe pole Njoo utimize haja yanguPole
🙏🙏Usinipe pole Njoo utimize haja yangu
akili andaz kabisa hapa tukiwa na hawa watu kama hawa Tanzania tutapa hasara kwa kwelTafuta kazi ya kufanya, migahawani wanalipa afu5 Kwasasa mambo kama haya unayo ya intertain hayatakupeleka popote zaid zaid uwe kiwanda cha kuzalisha watoto wanaokataliwa na baba zao
Wapambanaj wenzio muda huu wapo riverside wanauza uroda
Naja kukukomboa, wewe uende mimi nibaki.Bado nipo huku huku my dear..
Hali.mbaya mbaya sana.
Anaondoka anaacha chakula tu hakuna pesa kama mwanzo.
Ukitaka nguo anauliza size ya kiuno chako,
Ukitaka shart na viatu the same an kiufupi life is different now
Vishu Mtata popote ulipo ndgu yako nahangaika nipo huku bagamoyo kwa awadhi