Pambano la Mwakinyo na Pambano la Chumbani ๐Ÿ˜…

Dah akili nikajua update za mwakinyo lakini kumbe ni kuunganisha makojoleo๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”
 
Eeeh ndo hivyo, ukitoa ujuzi tukuka unasifiwa ila utaitwa malaya japo uliempa utamu atarudi.
Ukijitia mtakatifu hatarudi na utaitwa gogo.

Ni kheri ufurahie tendo na yule afurahiae.

Poor Brain kafungiwa na mshangazi huko bwagamoyo
 
Naapa naahidi mbele ya Mungu Jf nitakulindq mpaka kufa
 
Bado nipo huku huku my dear..
Hali.mbaya mbaya sana.

Anaondoka anaacha chakula tu hakuna pesa kama mwanzo.

Ukitaka nguo anauliza size ya kiuno chako,
Ukitaka shart na viatu the same an kiufupi life is different now

Vishu Mtata popote ulipo ndgu yako nahangaika nipo huku bagamoyo kwa awadhi
 
Tafuta kazi ya kufanya, migahawani wanalipa afu5 Kwasasa mambo kama haya unayo ya intertain hayatakupeleka popote zaid zaid uwe kiwanda cha kuzalisha watoto wanaokataliwa na baba zao


Wapambanaj wenzio muda huu wapo riverside wanauza uroda
๐Ÿ˜‚
 

Hakika hii dark side yako huwa inanifanya nikutamani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ