pambano la watani wa jadi ,mshindi nani?

kaboka

Member
Joined
Feb 25, 2008
Posts
36
Reaction score
1
Mlio Bongo Tupeni Matokeo Ya Mechi Kati Ya Simba Na Yanga
 
Kwa majibu ya kishabiki ni kwamba Simba wamekataa kufungwa na Yanga.Kule jangwani pilau linaendelea
 
malila,we mpenzi wa yanga nn?lete matokeo tujue,sasa hivyo unavyosema simba wamekataa kufungwa na yanga unamaanisha matokeo yapoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…