K kaboka Member Joined Feb 25, 2008 Posts 36 Reaction score 1 Apr 27, 2008 #1 Mlio Bongo Tupeni Matokeo Ya Mechi Kati Ya Simba Na Yanga
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,329 Reaction score 5,024 Apr 27, 2008 #2 Kwa majibu ya kishabiki ni kwamba Simba wamekataa kufungwa na Yanga.Kule jangwani pilau linaendelea
K kaboka Member Joined Feb 25, 2008 Posts 36 Reaction score 1 Apr 27, 2008 Thread starter #3 malila,we mpenzi wa yanga nn?lete matokeo tujue,sasa hivyo unavyosema simba wamekataa kufungwa na yanga unamaanisha matokeo yapoje?
malila,we mpenzi wa yanga nn?lete matokeo tujue,sasa hivyo unavyosema simba wamekataa kufungwa na yanga unamaanisha matokeo yapoje?
K Keykey JF-Expert Member Joined Dec 1, 2006 Posts 3,251 Reaction score 747 Apr 27, 2008 #4 Yanga 0 - Simba 0