Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Mkuu, nadhani mtoa mada anaitaka pepo. Na waongo hawataingia🤣Hao wote hawatufikii wabongo mkuu, baki nyumbani, kuwa mzalendo sifia cha kwako😀
Uongo gani sasa 😀 unamfahamu Sanchoka wewe vipi Poshy wa Harmonize? Hao ni baadhi tu, bado mimi pia sijajiweka kwenye list hapo🤸♀️Mkuu, nadhani mtoa mada anaitaka pepo. Na waongo hawataingia🤣
Mimi sina shepu bana nilikua natania tu, ila wabongo wako vizuri wanatuwakilisha na sisi😀Hiyo shepu inamtoa kamasi uran
Hao wote hawatufikii wabongo mkuu, baki nyumbani, kuwa mzalendo sifia cha kwako[emoji3]
Mbona Inawachangiaji Wachache?Hizi ndio nyuzi zinazopendwa na watu wa jf
Hebu tupia picha ya shape...Uongo gani sasa [emoji3] unamfahamu Sanchoka wewe vipi Poshy wa Harmonize? Hao ni baadhi tu, bado mimi pia sijajiweka kwenye list hapo[emoji2222]
Mkuu kwani umewaza nn?Katika hili pambano mimi binafsi kusema ule ukweli nikiangalia ukanda wa maziwa makuu hapa Afrika Mashariki, kwa ujumla inapokuja swala la shepu hasa mpindo mzuri wa makalio ama Matrakoo Wanyarwanda hadi sasa wanaongoza kwa mbali sana, japo hawajazagaa sana huko Dubai na Arabuni ila hawa viumbe wa Kitusi hawana mpinzani hata Duniani wapi no.1 hadi 3.
Vote
A. Wanyarwanda
B. Waganda
Kura yangu nachagua A. Wanyarwanda ni noma sana
Karibu kwa hayo machache
Wadiz