Pambanua ndoto, maono na ulimwengu wa roho

You are too shallow.

Hakuna ujumbe wa "roho mtakatifu hapo".
Tunapishana katika kufunuliwa mambo na Roho wa Mungu. Wala tusijisifu ma tukubali kujifunza hata ktk mbegu inavyoota hadi kuzaa. Vitabu vyq Ghazaal ni ufunuo mzuri
 
Andiko Safi na mujarabu lakini hapo pa damu ya yesu siungi mkono hoja.Nitatumia mbinu zangu za kijadi kufikia malengo Ila hongera kwa bandiko maridhawa.
 
Kama mimi kuna ndoto nimeota juzi haijanitoka kichwani. Niliota nimeketi kwenye kiti cha heshima cha juu kabisa, naposema juu namaanisha juu haswa, huku chini yangu wakiwa wameketi kaka yangu, ndugu jamaa pamoja na watu wengine.Ila kile kiti kama vile hakikuwekwa vizuri maana hakikuwa na nafasi ya kuegemea vizuri kwa nyuma, na sehemu ya kukalia ilikuwa ndogo kidogo na jinsi kilivyo juu sana nikawa naogopa kuanguka.

Ndoto hii itakuwa na maana gani?

Rabbon
Wewe ni mzaliwa wa kwanza?
 
Ok,
Brother kama hutajali niachie mawasiliano yako ya simu hapa nitakutafta nikusimulie na kama ni mwongozo wa toba utanipa.

Nimepitia masaibu mengi sana/hadi sasa napitia kwa mambo tu ya kijinga ambayo sina ya kumlaumu zaidi ya mimi mwenyewe.

Kuna jamaa mmoja aliposti uzi wa kiroho humu ndani, nikasoma nikafarijika, nikasema ngioja nimwombe jamaa mawasiliano yako naweza kupata msaada zaidi wa kiroho maana nitamfungukia vitu ambavyo huenda hapa sitoweza kufunguka yote kutokana na privacy.

Lakini nilivyo m-pm mshikaji akanitukana na kunambia mimi ni scam, nikaamua kupotezea tu nikamwambia asante brother nitapata tu msaada wa kiroho kwingine kama kweli Mungu ananipenda na anania ya kuniponya kwenye njia niliyoko sasahivi basi atafanya hivo kwa wakati.

Leo nimeona uzi wako nikabaki najisikitikia tu na mandoto yangu ya kutisha tisha alafu siya elewi tafsiri zake zaidi moja tu inahusiana na nyoka ndiyo niliielewa elewa kidogo japo bado sikujua nifanye nini nikakaa ivo ivo mpaka leo.

Lakini kama hutojali, naomba mawasiliano yako ya simu, nitafunguka kila kitu, vingine ni vya aibu sana hata naogopa kusema hapa labda nibadili ID
PM hazifunguki Kwa sababu maalum Hasa yangu,

Wasiliana na mtumishi anaitwa Prophet Edmund mystic 0754091738, pia ingia U-Tube, Huduma ya Kristo kupitia Mwalimu Jackob Steven utakuta pia contact na Utaratibu wa kuwasiliana na msaada zaidi.

Ubarikiwe.
 
Andiko Safi na mujarabu lakini hapo pa damu ya yesu siungi mkono hoja.Nitatumia mbinu zangu za kijadi kufikia malengo Ila hongera kwa bandiko maridhawa.
Sahau yote ila usisahau Jina la YESU, hata Ukiwa ndotoni unashambuliwa, wewe ita tu Yessuuuuu!!

Utaona atakavyotokea kukusaidia Kwa haraka usotegemea.

Ubarikiwe 🙏
 
Salaam, Shalom!!

INTRODUCTION

(Matendo 2:17-18) na (Waefeso 1:3)

MTU ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI. Roho inapoungana na mwili, kinaumbika kitu kinachoitwa NAFSI.

Mwili una vitu vinavyoshikika na kuonekana kama Ubongo ,misuli nk nk

NAFSI ni kiunganishi kati ya Roho na mwili, ndani ya NAFSI Kuna dhamira ambapo Kila linalotokea maamuzi hufanyika Kwa kusikilizia mwili au Roho.

Akili Iko katika NAFSI, lakini ubongo uko katika mwili. Dhamira,Huzuni, hisia pia vinapatikana katika NAFSI.

Mara zote mwili na Roho vipo katika mashindano vikivutana, hapo dhamira au Will hukaa muda wote ikiamua kuisikiliza Roho au mwili.

Kwakuwa mtu ni ROHO, lazima aingie katika Ulimwengu wa Roho ambamo Kuna NDOTO na MAONO.

MADA: PAMBANUA, NDOTO, MAONO, ULIMWENGU WA ROHO.

NDOTO + MAONO= ULIMWENGU WA ROHO.

Ulimwengu wa Roho ni mpana zaidi,Ndani ya Ulimwengu wa Roho Kuna NDOTO na Maono.

1. NDOTO
NDOTO imo ndani ya Ulimwengu wa Roho. Ni lugha ya picha inayotafsiriwa na NAFSI. Pia katika ndoto Pana sauti Kutoka Ulimwengu wa Roho.

Nimeeleza hapo juu, NAFSI ni kiunganishi kati ya MWILI na Roho,

Hivyo, zipo ndoto zitakazokujia kutokana na shughuli za Kila siku, mfano ukichoka au ukila sana Kuna NDOTO zake.

Pia zipo ndoto zinazotokana na Roho. Mtu alalapo, mwili hupumzika, Roho hupata muda wa kuzurura ipatakapo, na Kwakuwa Roho inapokwenda kuzurura ipatakapo, Bado inakuwapo connection inayoitwa SILVER CODE au Kamba ya Fedha ( (Mhubiri 12), hii huendelea kuunga Roho na mwili, ikikatika hii, ndo mwili unakufa, ndomana, ni hatari kumshitua mwili wa mtu ghafula akiwa usingizini.

NDOTO ni level ya chini katika Ulimwengu wa Roho, Maana Mungu husema na mtu katika maono mchana, lakini Kwa ubusy na kutojali, hawezi sikia sauti na maonyo ya Mungu, ndipo Mungu humsubiri Usiku alalapo Ili aseme nae.

Na Mungu asemapo na mtu ( Roho), husema nae katika ndoto au Ulimwengu wa Roho wa Ndoto.

NAFSI ni kiunganishi Cha mwili na Roho, hivyo Mungu asemapo na Roho, lazima NAFSI ipate taarifa na kutunza kumbukumbu katika akili, ndipo mtu atakusimulia ndoto.

Pia Roho inapoenda kuzurura, yenyewe unaweza ona vitu mbalimbali katika Ulimwengu wa Roho. Mtu ni ROHO, hivyo ikifanyika husuda au kikifanyika kikao chochote kizuri au kibaya duniani au Mbinguni, Roho hupata taarifa, na taarifa hiyo huja katika ndoto.

Mtu mara zote Yuko katika ndoto aotazo, ndoto ni HALISI, ziwe zimetokana na Shughuli za mwili au zile zilizotokea Roho ilipoenda kuzurura au Roho iliposema na Mungu.

2. MAONO
Hii ni level ya juu zaidi kuliko ndoto. MAONO ni wazi, hutokea zaidi Kwa wengi waliofunguliwa macho ya Roho. Yaani ni Kwa wale wanaweza kuona ya Rohoni mchana kweupe, macho wazi.

Hii hutokea mara nyingi Kwa waombaji, waliojazwa Roho MTAKATIFU. Awapo katika maombi, ghafula anaweza kuona mambo yanayoendelea katika Ulimwengu wa Roho wa Nuru au wa Giza wazi WAZI.

Aweza kuona objects za kiroho macho wazi, level hii ni Kwa waliookoka, au walozi maana bila kuwa na utulivu kiakili ni Rahisi kuchanganyikiwa.

Katika kuomba au kuombea watu katika mikutano ya INJILI, Roho MTAKATIFU husema na wahubiri kupitia maono, macho ya Rohoni hufunguka na kuona chanzo Cha magonjwa au matatizo yanayowasibu waombewaji.

Aweza mtazama mwanamke na kuona nyoka ndani ya tumbo, na nyoka ni tafsiri ya Ibilisi hivyo kupata kujua lilipo tatizo na jinsi ya kulitatua.

Ukitembea unaweza sikia sauti ya Hali ya kiroho ya eneo unalokanyaga limebeba nini na linemilikiwa na nani katika Ulimwengu wa Roho, kama ni Nuru au Giza.

3. ULIMWENGU WA ROHO
Ukiingia humo katika Ulimwengu wa Roho hakuna time, waeza ona the past, future au present.

Hakuna kizuizi, waeza ingia wewe mwenyewe sababu u Roho wewe, unaweza kingia kupitia Nuru au Giza ukisaidiwa na Mungu kupitia Malaika wake au kupitia Giza ukisaidiwa na Shetani kupitia mapepo.

Ikiwa uliwahi kwenda sehemu ambayo hujawahi kufika tangu Kuzaliwa Kwa mara ya kwanza na ulipofikia ukapata hisia na HAKIKA juu ya Mahali hapo ulikuwapo kabla, jua kuwa Roho Yako imewahi kukutangulia kwenda Mahali pale.

Mahali popote palipo na nyumba ya Ibada, katika Ulimwengu wa Roho, pale Pana MNARA, wachawi hukwepa minara hiyo, maana kuisogelea ni hatari anaweza naswa na kuangushwa chini.

Nyumba au viwanja ni muhimu kushirikisha watumishi wa Mungu kabla ya kununua au kujenga nyumba maana unaweza nunua kiwanja, kumbe ni madhabahu, kaburi au mahala pa WAFU, au ni ofisi ya watu wa Giza katika Ulimwengu wa Roho, na kukaa au kujenga eneo kama Hilo ni kujitafutia shida.

Msitu unaoonekana katika Ulimwengu wa mwili, inaweza kuwa ni gerezani, wafungwa, NAFSI zilizofungwa zinatunzwa Mahali pale,

Nimewahi kuendesha gari katika Ulimwengu wa Roho miaka mingi sana, na kipindi hicho sijui kuendesha gari, Sina lesseni, na kitu hicho kilijirudia mara Kwa mara,

Siku niliponunua gari Kwa mara ya kwanza, baada ya kujifunza na kuzoea kuendesha, maono ya namna Ile Ile niliyoyaona, katika Ulimwengu wa Roho miaka mingi iliyopota yalijirudia na nikaona exact ni kitu kile kile, gari lile lile mazingira Yale Yale, ndipo nikakumbuka kuwa mambo yote huanzia Rohoni.

Kila kitu ukionacho, kimeanzia katika Ulimwengu wa Roho. Na Ulimwengu wa Roho, upo upande wa Nuru na WA Giza.

Katika Ulimwengu wa Roho hakuna umbali, mtu aliye marekani, aweza ongea na mtu aliye Tanzania na wakaelewana.

Simu na television, na vitu vyote vya duniani vimetokea katika Ulimwengu wa Roho, WANADAMU wamecopy vilivyo katika Ulimwengu wa Roho na kuvileta katika Ulimwengu wa mwili.

Ukitaka kulala usiku, ukifunga milango katika Ulimwengu wa mwili, usisahau pia KUFUNGA milango katika Ulimwengu wa Roho, maana lock na makufuli ya nyumba Yako, katika mlango wako KIMWILI hayazuii objects za kiroho kuingia. Funga milango Yako Kwa Damu ya Yesu Kwa kutamka " Nafunga milango yangu ya nyumba Kwa Damu ya Yesu" hapo wa Giza wakija, hawawezi kuingia sababu watakuta hakuna entrance, atakuwepo Malaika akilinda.

Katika Roho unaweza kuhudhuria kikao chochote Cha Siri, ndomana wapangao mambo mabaya juu ya watu wengine sirini, mipango Yao hujulikana. Ukimtaja mtu katika Roho kwenye kikao chochote jua atajua maudhui ya kikao iwe ni kupitia ndoto au maono.

Ulimwengu wa Roho ni MMOJA, ila kuingia, ni unaweza kuingia kupitia Nuru au Giza.

Lakini pia Kwa kuwa mtu mwenyewe ni ROHO, automatically anaweza kuingia katika Ulimwengu wa Roho.

Ulimwengu wa Roho Kuna magari, nyoka, wanyama mbalimbali, magonjwa nknk kama tu duniani, wachawi, hute geneza Matukio katika Ulimwengu wa Roho na kumtumia mtu makombora, na ikiwa mtu huyo Hana ulinzi, ikiwa alitengenezewa Ajali huko, itakuja Kutokea katika uhalisia.

Kuwa makini na ndoto unazoota, maana mtu ni ROHO, na kwenye ndoto, ndiko kwenye uhalisia.

Ikiwa unaota ndoto zinazojirudia una maisha mazuri, una magari familia nzuri yenye furaha, ilhali uko katika lindi la Umaskini, unatakiwa ujue kuwa IPO haja ya kubadili ndoto kuja katika uhalisia kupitia Maombi.

HITIMISHO
1. Hakikisha unaandika ndoto ambazo umeziota na huzielewi, maana ndoto hutumia mafumbo. Usipuuzie ndoto maana zingine ni jumbe zinazohutaji utekelezaji wa haraka, mf Umepewa ujumbe katika ndoto ambao unakuarifu kuahirisha safari uliyopanga kusafiri kesho yake, ukipuuza tatizo litatokea na utapata madhara.

2. Ikiwa unapitia Hali ngumu kimaisha, Jenga Mnara wako katika Ulimwengu wa Roho.

Maisha ya maombi ni kujenga Mnara, ni kuhamisha baraka zako zilizo katika Ulimwengu wa Roho na kuzileta katika Ulimwengu wa mwili kupitia Maombi. Kama ambavyo wabaya wamekuweza Kwa kuanzia katika Ulimwengu wa Roho wa Giza, pia unaweza kujenga Mnara wako wa maombi kupitia Ulimwengu wa Roho wa Nuru, Malaika wako watakusaidia kupitia Mnara huo utakaorefuka kadri unavyoomba Hadi Mbinguni.

3. NDOTO ni lango, kabla ya kulala, funga lango la ndoto zako Kwa Damu ya Yesu. Tamka, Nafunga lango la ndoto lisitumiwe na adui kunishambulia nilalapo Kwa Damu ya Yesu. Pia Fungua lango la ndoto Kutoka Kwa MUNGU Ili upokee taarifa na maelekezo ya Mungu ulalapo.

4. Epuka kuchanja chale au kwenda Kwa Waganga, kufanya hivyo kunaondoa ulinzi wako wa asili, unafungua milango na antenna za kichawi katika Ulimwengu wa Roho wa Giza kukusumbua, chale ni sawa na chip ndani ya MWILI wa tembo pale Serengeti, inaonekana everywhere.

5. Maisha ya dhambi yanapunguza ulinzi wa Malaika wako uliopewa na Mungu tangu Kuzaliwa. Pia maisha ya dhambi yanatoa KIBALI Kwa shetani na Ulimwengu wa Roho wa Giza kuteka baraka zako na kukuacha fukara, mgonjwa usiye na mwelekeo.

Ikiwa hujaokoka,fuatisha Sala hii:
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO. AMEN

Mungu wa Mbinguni awabariki 🙏
Barikiwa kijana wa Yesu 🙏
 
Tunapishana katika kufunuliwa mambo na Roho wa Mungu. Wala tusijisifu ma tukubali kujifunza hata ktk mbegu inavyoota hadi kuzaa. Vitabu vyq Ghazaal ni ufunuo mzuri
Roho wa Mwenyezi mungu hawezi kuwa na tofauti za kukufunulia na mwingine.
Biblia imeji contradict sana, kuna mwengine anasema miaka hii, mwengine miaka tofauti. Sasa huyo roho gani anaejicontradict?

Haiwezekani. Mwenyezi Mungu akatuma ujumbe wake kupitia "roho mtakatifu" ukawa na "contradictions".
 
Hapana, nina kaka na dada zangu
Familia Moja inaweza kuwa na wazaliwa wa kwanza watatu ,mfano,

Familia ambayo Ina mtoto wa kwanza ni WA kike, wa pili wa kiume wa tatu ni WA kiume wa nne wa kike.

1. Hapo Kuna mzaliwa wa kwanza kuzanilwa, wa kike,

2. Kuna mzaliwa wa kwanza wa watoto wa kiume huyo wa pili.

3. Kuna mzaliwa wa kwanza wa AHADI, aliyechaguliwa na Mungu, Mfano wa Yakobo na Essay unakaa vizuri hapo.

Sasa wewe ndoto ULIZOOTA ni kama tu aliyoota Yusuph.

Inawezekana, Mungu amekuchagua uwe mzaliwa wa kwanza wa AHADI kwenye familia yenu Ili upitishe YALIYO ya Mungu kupitia wewe na uzao wako Ili Mungu atukuzwe katika family na ukoo.

Sasa KITI kutoimarika vizuri, ni wewe kutotambua au kutojibidiisha kutimiza majukumu hayo.

Anyway, chukua time ongea na Mungu kupitia maombi akufafanulie na kukupa maelekezo zaidi juu ya nini Cha kufanya.

Ubarikiwe 🙏
 
Salaam, Shalom!!

INTRODUCTION

(Matendo 2:17-18) na (Waefeso 1:3)

MTU ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI. Roho inapoungana na mwili, kinaumbika kitu kinachoitwa NAFSI.

Mwili una vitu vinavyoshikika na kuonekana kama Ubongo ,misuli nk nk

NAFSI ni kiunganishi kati ya Roho na mwili, ndani ya NAFSI Kuna dhamira ambapo Kila linalotokea maamuzi hufanyika Kwa kusikilizia mwili au Roho.

Akili Iko katika NAFSI, lakini ubongo uko katika mwili. Dhamira,Huzuni, hisia pia vinapatikana katika NAFSI.

Mara zote mwili na Roho vipo katika mashindano vikivutana, hapo dhamira au Will hukaa muda wote ikiamua kuisikiliza Roho au mwili.

Kwakuwa mtu ni ROHO, lazima aingie katika Ulimwengu wa Roho ambamo Kuna NDOTO na MAONO.

MADA: PAMBANUA, NDOTO, MAONO, ULIMWENGU WA ROHO.

NDOTO + MAONO= ULIMWENGU WA ROHO.

Ulimwengu wa Roho ni mpana zaidi,Ndani ya Ulimwengu wa Roho Kuna NDOTO na Maono.

1. NDOTO
NDOTO imo ndani ya Ulimwengu wa Roho. Ni lugha ya picha inayotafsiriwa na NAFSI. Pia katika ndoto Pana sauti Kutoka Ulimwengu wa Roho.

Nimeeleza hapo juu, NAFSI ni kiunganishi kati ya MWILI na Roho,

Hivyo, zipo ndoto zitakazokujia kutokana na shughuli za Kila siku, mfano ukichoka au ukila sana Kuna NDOTO zake.

Pia zipo ndoto zinazotokana na Roho. Mtu alalapo, mwili hupumzika, Roho hupata muda wa kuzurura ipatakapo, na Kwakuwa Roho inapokwenda kuzurura ipatakapo, Bado inakuwapo connection inayoitwa SILVER CODE au Kamba ya Fedha ( (Mhubiri 12), hii huendelea kuunga Roho na mwili, ikikatika hii, ndo mwili unakufa, ndomana, ni hatari kumshitua mwili wa mtu ghafula akiwa usingizini.

NDOTO ni level ya chini katika Ulimwengu wa Roho, Maana Mungu husema na mtu katika maono mchana, lakini Kwa ubusy na kutojali, hawezi sikia sauti na maonyo ya Mungu, ndipo Mungu humsubiri Usiku alalapo Ili aseme nae.

Na Mungu asemapo na mtu ( Roho), husema nae katika ndoto au Ulimwengu wa Roho wa Ndoto.

NAFSI ni kiunganishi Cha mwili na Roho, hivyo Mungu asemapo na Roho, lazima NAFSI ipate taarifa na kutunza kumbukumbu katika akili, ndipo mtu atakusimulia ndoto.

Pia Roho inapoenda kuzurura, yenyewe unaweza ona vitu mbalimbali katika Ulimwengu wa Roho. Mtu ni ROHO, hivyo ikifanyika husuda au kikifanyika kikao chochote kizuri au kibaya duniani au Mbinguni, Roho hupata taarifa, na taarifa hiyo huja katika ndoto.

Mtu mara zote Yuko katika ndoto aotazo, ndoto ni HALISI, ziwe zimetokana na Shughuli za mwili au zile zilizotokea Roho ilipoenda kuzurura au Roho iliposema na Mungu.

2. MAONO
Hii ni level ya juu zaidi kuliko ndoto. MAONO ni wazi, hutokea zaidi Kwa wengi waliofunguliwa macho ya Roho. Yaani ni Kwa wale wanaweza kuona ya Rohoni mchana kweupe, macho wazi.

Hii hutokea mara nyingi Kwa waombaji, waliojazwa Roho MTAKATIFU. Awapo katika maombi, ghafula anaweza kuona mambo yanayoendelea katika Ulimwengu wa Roho wa Nuru au wa Giza wazi WAZI.

Aweza kuona objects za kiroho macho wazi, level hii ni Kwa waliookoka, au walozi maana bila kuwa na utulivu kiakili ni Rahisi kuchanganyikiwa.

Katika kuomba au kuombea watu katika mikutano ya INJILI, Roho MTAKATIFU husema na wahubiri kupitia maono, macho ya Rohoni hufunguka na kuona chanzo Cha magonjwa au matatizo yanayowasibu waombewaji.

Aweza mtazama mwanamke na kuona nyoka ndani ya tumbo, na nyoka ni tafsiri ya Ibilisi hivyo kupata kujua lilipo tatizo na jinsi ya kulitatua.

Ukitembea unaweza sikia sauti ya Hali ya kiroho ya eneo unalokanyaga limebeba nini na linemilikiwa na nani katika Ulimwengu wa Roho, kama ni Nuru au Giza.

3. ULIMWENGU WA ROHO
Ukiingia humo katika Ulimwengu wa Roho hakuna time, waeza ona the past, future au present.

Hakuna kizuizi, waeza ingia wewe mwenyewe sababu u Roho wewe, unaweza kingia kupitia Nuru au Giza ukisaidiwa na Mungu kupitia Malaika wake au kupitia Giza ukisaidiwa na Shetani kupitia mapepo.

Ikiwa uliwahi kwenda sehemu ambayo hujawahi kufika tangu Kuzaliwa Kwa mara ya kwanza na ulipofikia ukapata hisia na HAKIKA juu ya Mahali hapo ulikuwapo kabla, jua kuwa Roho Yako imewahi kukutangulia kwenda Mahali pale.

Mahali popote palipo na nyumba ya Ibada, katika Ulimwengu wa Roho, pale Pana MNARA, wachawi hukwepa minara hiyo, maana kuisogelea ni hatari anaweza naswa na kuangushwa chini.

Nyumba au viwanja ni muhimu kushirikisha watumishi wa Mungu kabla ya kununua au kujenga nyumba maana unaweza nunua kiwanja, kumbe ni madhabahu, kaburi au mahala pa WAFU, au ni ofisi ya watu wa Giza katika Ulimwengu wa Roho, na kukaa au kujenga eneo kama Hilo ni kujitafutia shida.

Msitu unaoonekana katika Ulimwengu wa mwili, inaweza kuwa ni gerezani, wafungwa, NAFSI zilizofungwa zinatunzwa Mahali pale,

Nimewahi kuendesha gari katika Ulimwengu wa Roho miaka mingi sana, na kipindi hicho sijui kuendesha gari, Sina lesseni, na kitu hicho kilijirudia mara Kwa mara,

Siku niliponunua gari Kwa mara ya kwanza, baada ya kujifunza na kuzoea kuendesha, maono ya namna Ile Ile niliyoyaona, katika Ulimwengu wa Roho miaka mingi iliyopota yalijirudia na nikaona exact ni kitu kile kile, gari lile lile mazingira Yale Yale, ndipo nikakumbuka kuwa mambo yote huanzia Rohoni.

Kila kitu ukionacho, kimeanzia katika Ulimwengu wa Roho. Na Ulimwengu wa Roho, upo upande wa Nuru na WA Giza.

Katika Ulimwengu wa Roho hakuna umbali, mtu aliye marekani, aweza ongea na mtu aliye Tanzania na wakaelewana.

Simu na television, na vitu vyote vya duniani vimetokea katika Ulimwengu wa Roho, WANADAMU wamecopy vilivyo katika Ulimwengu wa Roho na kuvileta katika Ulimwengu wa mwili.

Ukitaka kulala usiku, ukifunga milango katika Ulimwengu wa mwili, usisahau pia KUFUNGA milango katika Ulimwengu wa Roho, maana lock na makufuli ya nyumba Yako, katika mlango wako KIMWILI hayazuii objects za kiroho kuingia. Funga milango Yako Kwa Damu ya Yesu Kwa kutamka " Nafunga milango yangu ya nyumba Kwa Damu ya Yesu" hapo wa Giza wakija, hawawezi kuingia sababu watakuta hakuna entrance, atakuwepo Malaika akilinda.

Katika Roho unaweza kuhudhuria kikao chochote Cha Siri, ndomana wapangao mambo mabaya juu ya watu wengine sirini, mipango Yao hujulikana. Ukimtaja mtu katika Roho kwenye kikao chochote jua atajua maudhui ya kikao iwe ni kupitia ndoto au maono.

Ulimwengu wa Roho ni MMOJA, ila kuingia, ni unaweza kuingia kupitia Nuru au Giza.

Lakini pia Kwa kuwa mtu mwenyewe ni ROHO, automatically anaweza kuingia katika Ulimwengu wa Roho.

Ulimwengu wa Roho Kuna magari, nyoka, wanyama mbalimbali, magonjwa nknk kama tu duniani, wachawi, hute geneza Matukio katika Ulimwengu wa Roho na kumtumia mtu makombora, na ikiwa mtu huyo Hana ulinzi, ikiwa alitengenezewa Ajali huko, itakuja Kutokea katika uhalisia.

Kuwa makini na ndoto unazoota, maana mtu ni ROHO, na kwenye ndoto, ndiko kwenye uhalisia.

Ikiwa unaota ndoto zinazojirudia una maisha mazuri, una magari familia nzuri yenye furaha, ilhali uko katika lindi la Umaskini, unatakiwa ujue kuwa IPO haja ya kubadili ndoto kuja katika uhalisia kupitia Maombi.

HITIMISHO
1. Hakikisha unaandika ndoto ambazo umeziota na huzielewi, maana ndoto hutumia mafumbo. Usipuuzie ndoto maana zingine ni jumbe zinazohutaji utekelezaji wa haraka, mf Umepewa ujumbe katika ndoto ambao unakuarifu kuahirisha safari uliyopanga kusafiri kesho yake, ukipuuza tatizo litatokea na utapata madhara.

2. Ikiwa unapitia Hali ngumu kimaisha, Jenga Mnara wako katika Ulimwengu wa Roho.

Maisha ya maombi ni kujenga Mnara, ni kuhamisha baraka zako zilizo katika Ulimwengu wa Roho na kuzileta katika Ulimwengu wa mwili kupitia Maombi. Kama ambavyo wabaya wamekuweza Kwa kuanzia katika Ulimwengu wa Roho wa Giza, pia unaweza kujenga Mnara wako wa maombi kupitia Ulimwengu wa Roho wa Nuru, Malaika wako watakusaidia kupitia Mnara huo utakaorefuka kadri unavyoomba Hadi Mbinguni.

3. NDOTO ni lango, kabla ya kulala, funga lango la ndoto zako Kwa Damu ya Yesu. Tamka, Nafunga lango la ndoto lisitumiwe na adui kunishambulia nilalapo Kwa Damu ya Yesu. Pia Fungua lango la ndoto Kutoka Kwa MUNGU Ili upokee taarifa na maelekezo ya Mungu ulalapo.

4. Epuka kuchanja chale au kwenda Kwa Waganga, kufanya hivyo kunaondoa ulinzi wako wa asili, unafungua milango na antenna za kichawi katika Ulimwengu wa Roho wa Giza kukusumbua, chale ni sawa na chip ndani ya MWILI wa tembo pale Serengeti, inaonekana everywhere.

5. Maisha ya dhambi yanapunguza ulinzi wa Malaika wako uliopewa na Mungu tangu Kuzaliwa. Pia maisha ya dhambi yanatoa KIBALI Kwa shetani na Ulimwengu wa Roho wa Giza kuteka baraka zako na kukuacha fukara, mgonjwa usiye na mwelekeo.

Ikiwa hujaokoka,fuatisha Sala hii:
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO. AMEN

Mungu wa Mbinguni awabariki

YESU ASIMAME NAWE MILELE
 
Niweke kambi kwanza
 
Back
Top Bottom