Kifuani kwake unamaanisha nini mkuu?Mwemyekiti wa Kamati ya maadili inayotakiwa kudhibiti rushwa ni Tundu Antipas Lissu. Vilio hivi viko kifuani kwake. Halafu ndio anataka akabidhiwe nchi eti adhibiti rushwa wakati ka taasisi kadogo kamemshinda. Ukimpa nchi ndio patachafuka. Bora tubaki na mama tu
Akitakiwa mzigo apewe viti maalumu yeye ndio wa kwanza kubook hotel!Mwana mama jasiri asiyeogopa, Pamela Massay leo akichukua fomu ya kugombea nafasi ya katibu mkuu Bawacha taifa.
Amekemea rushwa adharani na ameapa kukomesha rushwa inayofukuta Bawacha.
Watu wamemsifu kwa ujasiri wake kwa kuwa Chadema ya sasa ukikemea rushwa wazi wazi unaitwa msaliti na unakigawa chama.
View attachment 3190819
Kuna watu watamtetea wakati ni failure kwenye nafasi yake. Kila mtu kwenye chama analalamikia rushwa chamani. Cha ajabu hata yeye aliyetakiwa kuithibiti analalamika! Ahahahahaha!!!Mwemyekiti wa Kamati ya maadili inayotakiwa kudhibiti rushwa ni Tundu Antipas Lissu. Vilio hivi viko kifuani kwake. Halafu ndio anataka akabidhiwe nchi eti adhibiti rushwa wakati ka taasisi kadogo kamemshinda. Ukimpa nchi ndio patachafuka. Bora tubaki na mama tu