Pre GE2025 Pamela Massay: Bawacha inanuka rushwa, ala kiapo kuondoa rushwa Bawacha akipewa ukatibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Mwana mama jasiri asiyeogopa, Pamela Massay leo akichukua fomu ya kugombea nafasi ya katibu mkuu Bawacha taifa.

Amekemea rushwa adharani na ameapa kukomesha rushwa inayofukuta Bawacha.

Watu wamemsifu kwa ujasiri wake kwa kuwa Chadema ya sasa ukikemea rushwa wazi wazi unaitwa msaliti na unakigawa chama.
 
Mwemyekiti wa Kamati ya maadili inayotakiwa kudhibiti rushwa ni Tundu Antipas Lissu. Vilio hivi viko kifuani kwake. Halafu ndio anataka akabidhiwe nchi eti adhibiti rushwa wakati ka taasisi kadogo kamemshinda. Ukimpa nchi ndio patachafuka. Bora tubaki na mama tu
 
Kifuani kwake unamaanisha nini mkuu?
 
Mwannasiasa kusema Rushwa ni rahisi sana... Akiambiwa athibitishe anatokwa machozi

Timu zile zile chafua wenzako mradi weww upate...

Buure kabisa
 
Wala rushwa wanamchora tu
Wanamlia timing
Rushwa haiwezi kuisha kwa mtu mmoja kupiga kelele
 
Mwana mama jasiri asiyeogopa, Pamela Massay leo akichukua fomu ya kugombea nafasi ya katibu mkuu Bawacha taifa.

Amekemea rushwa adharani na ameapa kukomesha rushwa inayofukuta Bawacha.

Watu wamemsifu kwa ujasiri wake kwa kuwa Chadema ya sasa ukikemea rushwa wazi wazi unaitwa msaliti na unakigawa chama.
View attachment 3190819
Akitakiwa mzigo apewe viti maalumu yeye ndio wa kwanza kubook hotel!
 
Mwannasiasa kusema Rushwa ni rahisi sana... Akiambiwa athibitishe anatokwa machozi

Timu zile zile chafua wenzako mradi weww upate...

Buure kabisa
Unamaanisha Chadema sasa inaogopa kukemea rushwa?
 
Mwemyekiti wa Kamati ya maadili inayotakiwa kudhibiti rushwa ni Tundu Antipas Lissu. Vilio hivi viko kifuani kwake. Halafu ndio anataka akabidhiwe nchi eti adhibiti rushwa wakati ka taasisi kadogo kamemshinda. Ukimpa nchi ndio patachafuka. Bora tubaki na mama tu
Kuna watu watamtetea wakati ni failure kwenye nafasi yake. Kila mtu kwenye chama analalamikia rushwa chamani. Cha ajabu hata yeye aliyetakiwa kuithibiti analalamika! Ahahahahaha!!!
 
Back
Top Bottom