Pamoja Afcon 2027: Tanzania vs Kenya vs Uganda

nimefadhaika sana kwa kitendo walichokifanya Wamisri kwa kuweza kutudhalilisha namna hii πŸ‘‡

sijapata kuelewa ni nini ilikua madhumuni yao ukizingatia kwamba Al Ahly ni moja ya klabu kubwa barani Afrika na ukurasa huo unafuatiliwa na mamilioni ya watu duniani, hivyo basi wameweza kuona 'uozo wetu' tulionao
KOMANDO YOSO, eliakeem, Mgonjwa Mtumbafu, game over, Apeche alolo, mkorinto, much know hebu kujeni hapa,,, hizi ni nini??
 
Subiri kuona kandanda toka nchi pekee Afrika yenye timu mbili katika ligi ya mabingwa Afrika.
bro... mumezalilishwa vibaya mno, ndani na nje ya uwanja. hata kuanzisha twitter battle pia mumeshindwa angalau muonekane nyi pia mpo, au lugha ya malkia ndio tatizo? πŸ™†πŸ™†πŸ™†
 
Subiri kuona kandanda toka nchi pekee Afrika yenye timu mbili katika ligi ya mabingwa Afrika.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
nimeona... hebu rudia tena hii statement yako saa hii nataka nicheke vizuri
 
Jamaa zangu waliamua kuinua usiku huo huo, hawakutaka kupambazuke... πŸ˜πŸ˜πŸ˜… usiulize kwanini

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…