Pamoja AFCON 2027: Tanzania vs Kenya vs Uganda

Kenya itafungua na itafunga haya mashindano Hiyo kiwanja inajengwa ni moto Talanta 🥴
Ufunguzi na ufungaji unazingatia mambo mengi sio tu uwanja ndugu, infrastructure (transport and communication facilities), hospitality, peace, etc. Sasa jamaa zetu wanafeli hapo tu, na ukizingatia Pamoja Afcon itachezwa mwaka wa uchaguzi huko kwao.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…