Pamoja AFCON 2027: Tanzania vs Kenya vs Uganda

Ufunguzi na ufungaji unazingatia mambo mengi sio tu uwanja ndugu, infrastructure (transport and communication facilities), hospitality, peace, etc. Sasa jamaa zetu wanafeli hapo tu, na ukizingatia Pamoja Afcon itachezwa mwaka wa uchaguzi huko kwao.
Kwa hizo vitu zote umetaja, Tanzania inaizidi Kenya kwa lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…