Pesa zipi hasa unazozungumziaRais naomba wafikirie vizuri hawa Stars,hizi pesa zingepelekwa kwa wanafunzi wa elimu ya juu wapate mkopo.
Kwani huko Zimbabwe walienda kwa miguu?Pesa zipi hasa unazozungumzia
Misingi ya soka tunaifuata? nayo ni uwekezaji toka chini zamani kulikuwa na sera michezo mashuleni kama umishumta na umisseta hii ilisaidia kuona vipaji vya vijana. Ukija makazini kulikuwa na shimuta na shimiwi hii iliwafanya wafanyakazi kuwa na afya njema na pia taasisi zote zilikuwa na timu kama sigara, plisner, ndovu ,RTC TANESCO kwa kuwa miaka hiyo shule hazikuwa nyingi so vijana wengi hawakuchaguliwa kuingia kidato cha kwanza hivyo basi waliokuwa wanamichezo hodari walijiunga na timu hizi kama vibarua lakini kazi yao ilikuwa michezo hasa mpira wa miguu na mpira wa pete kama ni wilayani kijana anacheza pale daraja la nne akifanya vizuri mwaka unaofuatia timu nyingine zinamchukua na kuendelea nakumbuka miaka hiyo wakulima wa pamba walikatwa pesa nadhani ilikuwa shilingi 5 kwa kila kilo pia majimaji enzi za mzee gama penye mafuta walikuwa wanakatwa kuchangia timu hayo mambo huwezi kuyafanya sasa hivi kwa style hiyo.pccb wasimamie soka letu wajue kule kuna ajira na kodi ya serikali, wawasimamie hawa simba na yanga waache kununua mechi, ndio tutapata wachezaji wa ukweli , hawa kina kichuya wanaopata hat-trick kwenye timu zilizonunuliwa wayajiishia,