Pamoja na dhiki mlizonazo , Yanga mmekosea sana kumkaribisha " KIVURUGE "

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ukimuingiza nyoka ndani unategemea nini ? tafuteni fedha lakini angalieni na wanaowachangia basi , mkipokea kila kinacholetwa kutoka popote mtakuja kulaumiana .

Sisi hatutaki watani mtoweke .
 
Wanatafuta pesa za kushindana kusajili na Simba. Sasa sijui mishahara wamejipangaje!

Ndio itakuja kujirudia ya msimu uliopita wachezaji hawalipwi wanapoteza morali uwanjani kocha wao anatupia lawama waamuzi, kwamba wanaonewa.
 
Mbumbumbu Kwenye ubora wako, wewe fuatilia timu yako mengineyo inaonyesha roho inakuuma hukutaka wasajili.
Yaani unaonyesha ile roho ya kiafrika kabisa.
 
Wanatafuta pesa za kushindana kusajili na Simba. Sasa sijui mishahara wamejipangaje!

Ndio itakuja kujirudia ya msimu uliopita wachezaji hawalipwi wanapoteza morali uwanjani kocha wao anatupia lawama waamuzi, kwamba wanaonewa.
Samahani, sisi siyo kama Simba na wala hatutaki kufanana na Simba. Wacha sisi wananchi tuendeshe timu yetu na nyie mbaki kuwa mke wa pili wa Moo. Sisi wanaume bwana hatuwezi kuolewa ebooo.
 
Back
Top Bottom